Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Dah! Sawa ndugu we ndo mchawi wao kuchapiwa sisi,kutoswa sisi, kuitwa konokono sisi dah!

Nikichoka naachana nao nafanya Mambo mengine..πŸ˜…
 
Hata kama umemtongoza, ndo akuite konokono?
Why konokono?
Konokono amemkosea nn jamani na alivo mpole

🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣

Yani si angechagua tu kitu kingine.
SIJAPENDA!!!
 
Dah! Sawa ndugu we ndo mchawi wao kuchapiwa sisi,kutoswa sisi, kuitwa konokono sisi dah!

Nikichoka naachana nao nafanya Mambo mengine..πŸ˜…
Hata ningekuwa mimi!!

Weeee sio kwa kuitwa konokono jamani.
 
Reactions: BAK
Wako sawa kabisa,

Sisi wanaume tukitongoza alafu mtoto wakike atoe kauli za kilembo huwa tunahesabu huyo keshaingia kwenye 18 ila anavunga tu
πŸ™„
 
sipati picha bwana konokono !
maana naingia nyumbani nakuta watoto wanaangilia movie ya kwa jina Turbo(snail)
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Tena unabahati uitwe konokono
 
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣 ni aje konokono hahahahaha
Dah! Ni fresh tu mkuu hakuna namna Sasa itabidi nibebe huu msalaba..πŸ˜…
 
Reactions: BAK
Ila kweli konokono?.
Daaah!!
🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣🀣
 
Hahahahahahaha lol! Halafu ninavyowachukia sasa konokono 🀣🀣🀣 wallahi ningemrusha na tusi pamoja na kuwa sina hulka hiyo kwenye kutongoza.
Kwa kweli mi natamani umrushie tu hata kimoyomoyo.
Kweli kuwmita mwenzie snail?
Dah!!
 
🀣🀣🀣🀣

Mkuu nacheka lakini inauma! Dah!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…