Unakuta linadanganywa na jibaba hala anawaita waoaji konokono, mzee akimaliza kulila na kiulidamp linaanza kwenda kwa mwamposa kwenye maombiWengi wao hawajielewi! Unakuta lina above 28 na halijaolewa! (Nung^aembe) halafu eti linakujibu..." unikome"!! Khaa...!
Nitakomaa naye mdogomdogo, hadi siku akiingia laini....unamtengenezea mazingira kuwa amefika, akijiachia tu namwaga, akianza kunitafuta na kulaumu...ninamkumbusha kuwa usisahau mimi ni konokonoDawa gani mkuu..?
Nikukumbushe kuwa hakuna mwanamke asiyelika, tatizo wanaume huwa tuna papara, tunajishusha thamani kwa kupewa namba na papo hapo unaanza kutongoza.Dawa gani mkuu..?
Ataanzaje kuniroga mkuu, mie mti mkavu[emoji1787][emoji1787]Hapo ndo huwa mwanzo wa kurogwa
Ohoo! Kumbe!Nikukumbushe kuwa hakuna mwanamke asiyelika, tatizo wanaume huwa tuna papara, tunajishusha thamani kwa kupewa namba na papo hapo unaanza kutongoza.
Tukijua uthamani wetu hatupaswi kuwa na papara....mwishowe utatongozwa wewe[emoji38]
[emoji1787][emoji1787][emoji1787][emoji1787]pole mkuuNijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu, akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
Habari ndio hiyo.[emoji849][emoji849]
Inategemea kwa kweli. Yani hata kama usiwe unanipa nijue tu zipo.Hivi unaweza kupenda mwanaume bila hela we dada..?
Sio kila mtu analogwa mkuuCovid tu mmelia ikiamshwa mizimu ya akina mang'oma patakalika..[emoji28]
Mapenzi nayapata pale ninapokua na amani ya moyo. Sasa hiyo amani ndo inaletwa na vingi na mwanaume mwenye tuchenchi akiwepoSo mapenzi kwako ni nini..?
Hata mi naelewa mapenzi bila fedha hayaendi ila Sasa fedha ipi sasa.. je,ni ile ukitongozwa tu na gesi inaisha,nywele zinafumuka,Kodi inaisha au..?Mapenzi nayapata pale ninapokua na amani ya moyo. Sasa hiyo amani ndo inaletwa na vingi na mwanaume mwenye tuchenchi akiwepo