Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Dada zetu mnapotongozwa muwe na maneno ya staha

Wengi wao hawajielewi! Unakuta lina above 28 na halijaolewa! (Nung^aembe) halafu eti linakujibu..." unikome"!! Khaa...!
Kwahyo kutoolewa ndo unamuita nunga yembe??
 
giphy.gif
🤣🤣🤣
 
SIJAWAHI NUNUA MWANAMKE, NASIWEZ KUFANYA IVO.


HAITAKAA KAMWE, NITUMIE PESA YANGU KUNUNUA MWANAMKE, NIKAISHIA KUIPA NUKSI .


PESA NI PESA..NA MAPENZI NI MAPENZI.



KILA SIKU NAWAAMBIA, KUMPA MWANAMKE PESA KWA LENGO LA KUMPATA KIMAPENZI.. NI UAMUZI WAKO WEWE MWENYEWE.


ila hamnielewi.
So watakula wapi bro..?
 
Kiongozi uwez ukapanga kutongoza [emoji3]
Mtongozo hauna formula

Hawa mama zetu wanapenda vitu vya kijinga

Unaweza mpelekea zawadi ya konokono kama alivokuita apo tiare una point kama unajua kutumia

Wahuni wamenielewa
 
😂😂Sitoki..ila bro kuna watu siyo wazuri ujue..hivi wewe wa kuitwa konokono!!!!..
Hapo sasa! Yani dah! Sijui hata nifanye Nini..😅
 
Wako sawa kabisa,

Sisi wanaume tukitongoza alafu mtoto wakike atoe kauli za kilembo huwa tunahesabu huyo keshaingia kwenye 18 ila anavunga tu
 
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣 ni aje konokono hahahahaha

Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
 
Nijipinde kukutongoza wee nitumie muda, nguvu,akili nipangilie maneno ya kukushawishi.. halafu kirahisi tu uniite mimi konokono!!! Serious Mimi konokono! mjiheshimu bhana inauma.
😂😂😂😂😂😂
 
Back
Top Bottom