Nikifa MkeWangu Asiolewe JF-Expert Member Joined Feb 26, 2024 Posts 6,944 Reaction score 14,351 Jan 1, 2025 Thread starter #21 Killa Cam said: Fainali uzeeni wewe jenga ukizeeka utakumbuka hii comments yangu. Kuna mshkaji kaoa jamaa yetu mmoja huyu mwamba anajitahidi kila kitu kwa familia yake. Lakini ukweni wanamuona jau kichizi Click to expand... Ukweni unajenga kama zawadi hujengi kama unawekeza. Ni vitu viwili tofauti
Killa Cam said: Fainali uzeeni wewe jenga ukizeeka utakumbuka hii comments yangu. Kuna mshkaji kaoa jamaa yetu mmoja huyu mwamba anajitahidi kila kitu kwa familia yake. Lakini ukweni wanamuona jau kichizi Click to expand... Ukweni unajenga kama zawadi hujengi kama unawekeza. Ni vitu viwili tofauti
Smart911 Platinum Member Joined Jan 3, 2014 Posts 135,167 Reaction score 160,806 Jan 1, 2025 #22 Wanawake hawajawahi kupendana... Cc: Mahondaw