Nikifa MkeWangu Asiolewe
JF-Expert Member
- Feb 26, 2024
- 6,944
- 14,351
- Thread starter
- #21
Ukweni unajenga kama zawadi hujengi kama unawekeza. Ni vitu viwili tofautiFainali uzeeni wewe jenga ukizeeka utakumbuka hii comments yangu. Kuna mshkaji kaoa jamaa yetu mmoja huyu mwamba anajitahidi kila kitu kwa familia yake.
Lakini ukweni wanamuona jau kichizi