Dadangu ana miaka 26, lakini mpaka sasa hajaolewa. Familia nzima tuna wasiwasi kuwa atazalia nyumbani. Tufanyeje?

Unavyomuona ana tabia nzuri? Huenda alishatamka kuwa anataka kuolewa na mtu mwenye uwezo, mpaka sasa anawasubiri. Kama vipi, labda katupiwa kimavi, ni cha kuondoa.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Muacheni aishi maisha yake kama nyie!
Pambana na yako na yenu....
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Inaonekana nyie ndio mna presha zaidi kuliko mhusika. Na nyie ndionasababisha watu wafanye maamuzi ya ajabu ajabu. Kuolewa mtu ndio hadi unaandika jf? Tena 26 yrs,😬😬😬
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mkuu kwa bahati mbaya nimeoa ningemstiri.
 
Sasa mwanaume huna kipato Cha kueleweka unatongoza ili iweje?
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Njoo Pm na picha yake
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mlengeshe kwangu
 
Usimlengeshe Kwa mwanume Ila jaribu kuongea nae kuhusu swala zima la mahusiano .

Unaweza kumlengesha Ila akaishia Kuzalishwa na kuachwa .

Zipo njia ambazo unaweza kuzitumia ili apate MTU

Wakati wewe unataka aolewe pia na yeye anataka apate mume sahihi.

Then nyakati hizi kupata ndoa na MTU anaye eleweke sio Kazi nyepesi ,subra na kuwa uvumilivu ni muhimu.

We bora huyo Ana 26 yrs hajaolewa

Kuna watu wana 30 hajaolewa na mtoto hana wanaume wanamruka Kama hawamuoni.

So familia isikurupuke mtulie mumuombe Mungu na awe MTU ambaye ni approachable swala hili litamfanya apate ndoa ishallah.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mpeleke Mr Right,Startimes kwa Gara B.
 
Reactions: G4N
Madem wengi saiv wasenge tu ndomaana wajanja wengi hatuoi tunazalisha tu rate ya single mothers itazid kuongezeka adi vichwa viwakae saw.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nipe namba yake utanishukuru leo leo na hilo tatizo litaisha.
 
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?

Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Naweza kuuliza kabila lenu ndugu?au japo eneo mlilipo?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…