kibobori mahoro
JF-Expert Member
- Dec 12, 2022
- 7,452
- 10,785
Unavyomuona ana tabia nzuri? Huenda alishatamka kuwa anataka kuolewa na mtu mwenye uwezo, mpaka sasa anawasubiri. Kama vipi, labda katupiwa kimavi, ni cha kuondoa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Muacheni aishi maisha yake kama nyie!Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Hahahaha junia atakuja kabla ya Yesu kurudiHiyo ndiyo tiketi ya kuletewa Mjomba hapo sebuleni.
Inaonekana nyie ndio mna presha zaidi kuliko mhusika. Na nyie ndionasababisha watu wafanye maamuzi ya ajabu ajabu. Kuolewa mtu ndio hadi unaandika jf? Tena 26 yrs,😬😬😬Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mkuu kwa bahati mbaya nimeoa ningemstiri.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Pengine atakuwa anachagua sana hataki kuolewa na malofaNdoa kwa wanawake siku hizi ni bahati nasibu,
Dada yako atakuwa na tabia mbovu,wenye tabia njema haifichiki na wanaolewa.
Sasa mwanaume huna kipato Cha kueleweka unatongoza ili iweje?Rudi nyuma kidogo kwenye historia ya wazazi wenu.
Je walioana? Kama ndio angalia maza aliishije na faza? Kama maza ndio mwenye kauli ya mwisho kimaamuzi basi itachukua muda sana kwa dada ako kupata boya wa kumuoa.
Mabinti wengi huishi muda mwingi wa usichana wao wakipata attention nyingi mnooo kutoka kwa wanaume.
Unakuta binti akitoka nyumbani kwenda dukani tu, ameshatongozwa hata mara mbili, miluzi nayo Kama yoote(na kipindi hiki cha sosha network ndio imekua balaa, mara insta, mara fb huko Kote ni mitongozo na hai za kutosha)
Kwa bahati mbaya sana dada zetu wanapokutana na hali hizi hujisahau, hata wakitongozwa na wanaume siriaz wasio na vipato vinavyoeleweka huwakataa wakiamini kesho watatongozwa na wanaume bora/sahihi
Hapa ndio dada zetu huwa wanachemka coz muda wa wao kupewa attention huwa ni mfupi sana baada ya hapo kunakua na kizazi kipya na wao wanaanza kutolewa kwenye game kidogo kidogo, kuja kustuka, hakuna mwanaume wa maana maishani, inabidi ajirahisi >>> singo maza.
Men age like fine wines, bitchez ages like milk.
Kwa mwanaume huu mfumo ni vice versa coz mwanaume anapofikia 30,40 ndio anakua amejipata pata kidogo wengine wanakua wameshatoboa kabisa, sasa jiulize mwanaume kama huyu atakuja kwa dada ako?
Njoo Pm na picha yakeNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mlengeshe kwanguNi ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Mpeleke Mr Right,Startimes kwa Gara B.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Nipe namba yake utanishukuru leo leo na hilo tatizo litaisha.Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
Naweza kuuliza kabila lenu ndugu?au japo eneo mlilipo?Ni ushauri gani mnaweza kuipatia familia yangu juu ya wasiwasi huu?
Binafsi nilikiwa na wazo moja, kwamba nimtafute mwanaume nimlengeshe kwa sista bila ya yeye (sista) kujua halafu amuoe.
28 unapaswa kuwa kwenye ndoa. Kinyume na hapo umefungwa na roho wachafu wa ukahaba na hujijui.degree......me ni 28 halafu siwazi kuhusu ndoa.