Umesema sahihi Mkuu 🙏Kijijini kwa biashara hapafai. Labda uende sehemu za machimboni au vijiji maarufu kwa kilimo cha mazao ya biashara. Ila hivi vijiji vya kawaida watu wanajilimia kwa ajili ya msosi ni pagumu sana.
Sasa unataka upate faida papo kwa papo?Nilianza mwaka jana
Shangaa sasa...Nje ya mada..
Hivi kumbe hutu tudada dada natotuonaga tunauza maduka ya simu full kuringa ringa na kuongea kwa nyodo, kujidai tu slay queen, kumbe tunalipwa laki tu kwa mwezi..?[emoji849]
Bado kuna vijiji vingi wanafanya hivyoUmesema sahihi Mkuu 🙏
Miaka fulani nilikuwa nachinja ng'ombe na kubadirishana na Mazao ya nafaka, hii ni baada ya kuwa kule Kijijini wengi walikuwa wanashindwa ku-afford kununua nyama Kwa bei ya kilo kilo
Hivyo solution ilikuwa nawapa kilo ya nyama then wananipa sado 3 za mahindi/mtama
Baada ya muda unaondoka na gunia kadhaa za mazao 😜
pole Yako huijui Tanzania ww..Kodi unakadiriwa before hata ujaanza hyo biashara..wao Wanasema Wana uzoefu na kila aina ya biashara na eneo la biashara..shikamo t.r.aKwa hayo mahesabu unakubalije kuwalipa tra 250000. Tra unawalipa kutokana na biashara ilivyo. Mambo ya msiba usiyaingize kwenye biashara.
swali zuri sanaFafanua mkuu inamaana apo hakuna closing stock yaani mzigo uliobaki dukani....uliuza mzigo wote
Mi kadogo tu, Ila Nina marafiki au watu wa karibu ambao - nafurahia kuzungukwa nao.Kuna la kujifunza kwako, ukiwa mzembe unaweza Kuta unawanufaisha Tiaraei 😅
nafanya biashara, watu wa TRA nadeal nao kila mara, siongei kitu cha hewani.pole Yako huijui Tanzania ww..Kodi unakadiriwa before hata ujaanza hyo biashara..wao Wanasema Wana uzoefu na kila aina ya biashara na eneo la biashara..shikamo t.r.a
kwamaana unachukua kwa mkopo au.....na je,mzigo usipoisha unaupeleka wapiMimi nachukua mzigo sehemu, naulipia tu ikiwa nimeuza, kama sijauza sio mali yangu
Labda t.r.a Wana miongozo tofauti kulingana na eneo..mm biashara zangu zipo kigamboni na zote nikikadiriwa Kodi hata kabla sijaanza...nafanya biashara, watu wa TRA nadeal nao kila mara, siongei kitu cha hewani.
makadirio ya kodi yanakuwepo kwa biashara zote, ila kama unatunza kumbukumbu wewe ndio unajikadiria ukishafanya mahesabu kama itaonekana unapata ziada utalipa zaidi ila kama unalipata pungufu utapunguza makadirio kwa mwaka unaokuja.Labda t.r.a Wana miongozo tofauti kulingana na eneo..mm biashara zangu zipo kigamboni na zote nikikadiriwa Kodi hata kabla sijaanza...
Na hii ndiyo hali halisi kwa wengi. Ukitaka tu kuanza biashara unakadiriwa kodi. Wanaita provisional.Labda t.r.a Wana miongozo tofauti kulingana na eneo..mm biashara zangu zipo kigamboni na zote nikikadiriwa Kodi hata kabla sijaanza...
Ndio kitu na mm nimefanyiwa asa naona wadau hapa Wanasema hapo hvo...Na hii ndiyo hali halisi kwa wengi. Ukitaka tu kuanza biashara unakadiriwa kodi. Wanaita provisional.
TRA wana njia 2 za kukadiria kodi. Kwanza ni mtu anayetunza kumbukumbu/hesabu pili ni mtu asiyetunza.Kwa hayo mahesabu unakubalije kuwalipa tra 250000. Tra unawalipa kutokana na biashara ilivyo. Mambo ya msiba usiyaingize kwenye biashara.
Siku nyingine usilipe pesa kubwa kama hiyo kwa agent bila ku verify vipimo mwenyewe.Kuna siku dukani nimepokea msg ya Silent Ocean mzigo umefika natakiwa nilipie kama 1.7m na kwa bahati mbaya kwa target zangu nilidhani utachelewa kwahiyo kwa hiyo siku sikuwa hata na laki kwa sababu ya kununua stock. Wakati ninawaza yule binti akaniuliza vipi mbona kama unawaza.. nikamjibu mzigo umefika na leo sina hela ya kuutoa. Akaniuliza ni Tsh ngapi nikamjibu. Nikashangaa ananiambia nimruhusu aende nyumbani kuniletea hizo pesa. Nilishtuka na kumuuliza mara tatu kama yuko serious. Baada ya muda karudi na hela. Hiyo ndo siku nilielewa kwanini anko wangu aliniambia USISHINDANE NA DADA YAKO. Huyo binti hakudumu sana kazini alikuja kuolewa na kuachishwa kabisa kazi.