Grahams
JF-Expert Member
- Mar 19, 2016
- 16,096
- 49,651
Umesema sahihi Mkuu šKijijini kwa biashara hapafai. Labda uende sehemu za machimboni au vijiji maarufu kwa kilimo cha mazao ya biashara. Ila hivi vijiji vya kawaida watu wanajilimia kwa ajili ya msosi ni pagumu sana.
Miaka fulani nilikuwa nachinja ng'ombe na kubadirishana na Mazao ya nafaka, hii ni baada ya kuwa kule Kijijini wengi walikuwa wanashindwa ku-afford kununua nyama Kwa bei ya kilo kilo
Hivyo solution ilikuwa nawapa kilo ya nyama then wananipa sado 3 za mahindi/mtama
Baada ya muda unaondoka na gunia kadhaa za mazao š