Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

Kumbe ni wewe!!!? Story kama hii ilikuwepo MMU jamaa alikuja kulalamika humu. Kwa wanaokumbuka watasema
 
Yaani ID yangu ya jf mpaka Mimi siijui, sa inakuaje MTU mwingine aijue?
Siku ikijulikana naachana nayo nafungua nyingine
 
Hiyo pm ilikuwa ya hatari sana
 
Hiyo pm ilikuwa ya hatari sana

Yaani ilikuwa noma wee acha tu. Ila alinikera sana kujibu vibaya bora tungewekeana biti wenyewe sio kugusa ile PM ilikuwa muhimu sana kwangu. [emoji12][emoji12][emoji12]
 
Yaani ilikuwa noma wee acha tu. Ila alinikera sana kujibu vibaya bora tungewekeana biti wenyewe sio kugusa ile PM ilikuwa muhimu sana kwangu. [emoji12][emoji12][emoji12]

Hahahahahha

Ulikuwa unataka kuuza timu ww
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…