Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

Wewe ni mwanamke wa shoka! Wait a minute, mmasai ni mume au boyfriend?
 
hahaha wew kiboko
 
Baada ya ku unstall uliinstall tena app kwa kuitoa wapi?
Maana hii app ya jf haipo playstore ni muda sasa... ulitumia apk?
 
Kuna mijitu mingine ukiiazima simu inaingia moja kwa moja kwenye Profile kuangalia unatumia I'd gani.

Ila hata mimi haka kamtindo ninako sana teh teh teh nilishangaa kumkuta babu yangu wa kufikia mwenye miaka 74 yupo humu.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] apo kwa babu sasa
Ukiwa unampa simu mtu unahakikisha una log out
 
hahahaa mmasai aiseeee
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…