Dah Ban inauma aisee! Nimempa rafiki yangu simu aperuzi JF akasababisha nipigwe ban

Kwaiyo sahv rafik ako anakujua humu we ni nani ...kama anasoma apa mwambie neno moja
Sijawah weka id fake ,, hata ukipitia uzi zangu hazina kitu cha kunifanya nijifiche na kwa nn nifanye hivyo?....
 
Sijawah weka id fake ,, hata ukipitia uzi zangu hazina kitu cha kunifanya nijifiche na kwa nn nifanye hivyo?....
Bas Sawa kumbe haina shida, sis wa id feki tungepata kiwewe
 
Bas Sawa kumbe haina shida, sis wa id feki tungepata kiwewe
Pole mm hata mr. Huingia huku muda mwingine akitaka kupost tangazo lake na alishafanya hivyo ,,sina kibaya cha kuhide kabisa kama n mtu katuma pm ya kunitongoza wala haangaiki nazo kabisa kwa sababu ananijua vyema
 
Ahahaa pole
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…