Kichwa Kichafu
JF-Expert Member
- Apr 13, 2017
- 44,855
- 189,385
Huyu alijipiga ban mwenyewe Si bureUnampaje mtu aingie na id yako???? Mbona ngumu hii
Sawa sasa hivi nakufanya...Tihtihtihtihi ssshhhh love [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] [emoji40] watatusikia tunawasema ujue
Afu fanya Ile kitu jamani am waiting
Lol[emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji87] [emoji85] [emoji85] you are crazy my king mweeehSawa sasa hivi nakufanya...
Hii ni chaiUnampaje mtu aingie na id yako???? Mbona ngumu hii
Mkeo usimnyime.Kabisa ,, yan mbali na kulog out hata kumpa simu mtu sithubutu tena
Hujambo Neema?Pole mm hata mr. Huingia huku muda mwingine akitaka kupost tangazo lake na alishafanya hivyo ,,sina kibaya cha kuhide kabisa kama n mtu katuma pm ya kunitongoza wala haangaiki nazo kabisa kwa sababu ananijua vyema
Hahahahahaaa, pole sana.Usimpe mtu simu yako mimi kuna siku mmasai wangu alidaka kwa bahati mbaya simu yangu nilikuwa kwenye PM natiririka na mtu. Ile nimeenda kuchungulia sufuria jikoni dakika tatu zilimtosha kumjibu vibaya sana mtu niliyekuwa na chat nae. Nilijisikia vibaya sana nikaambulia block kutoka kwa rafiki wangu wa PM[emoji22]
Tangu siku hiyo simu yangu ina password hadi kwenye charger nimeweka password hata akiishi nayo siku nzima hafanikiwi chochote kuanzia kupokea simu hazipokeleki wala haoni chochote. Amepandisha mori hadi ameshusha mwenyewe simpi nafasi kwenye simu yangu tena.
Mmh kule unaweza kuona hata ahadi za M-pesa wakati nyumbani unaambiwa vyuma vimekazaHadi sasa hivi hujui michepuko ya Babu?[emoji15] [emoji15]
Post # 76."Hata Mr........" Great !Sababu ya kujua mm n me n nn??
Wewe ni mwanamke wa shoka! Wait a minute, mmasai ni mume au boyfriend?
Hata sijui.mpaka sasa hawajnifungilia na wala hawaniambii sababu...sikumbuki kumtukana mtuDuh mbona mingi hiv ulikosa nn kikubwa hivyo
Hapo sawa ila ningekuwa ni mimi mmasai lazima ndomu kila wakatiSponsor [emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]