😂😂😂😂😂
Naona hiyo shingo yako huipendiKuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛
na ukiusoma ukristo si ndo utavunjika mbavu kabisaUislamu ni dini iliyoanzishwa na wahuni WASIO na elimu
Ukiuusoma uislamu unaweza kuwa unacheka tu
View attachment 3328856
Ngoja waje kukunyakua hujipendi
Kuna dini pia wanaamini Jua linazama kwenye matope
Eti oh mara jua linazama topeni....tehe!
Ila nachojua mudi alikuwa anabip Tu matokeo Yake kitu kikatiki. Na ikitokea akajua yanaondlea baada ya yeye kufa atashikwa na mshtuko.
Nyau de adriz
Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?Uislamu ni dini iliyoanzishwa na wahuni WASIO na elimu
Ukiuusoma uislamu unaweza kuwa unacheka tu
View attachment 3328856
Hahaha 🤣 😂 nimecheka Kwa sauti haha Maamae Hadi wetu wakashangaa.Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Nina Bible nimemaliza kusoma Injili ya Mathayo sasa naingia Marko , ila siku hizi masomo yamenibana Nina kama wiki sijaisoma .
Injili Moja nimeMark MaBlunders na Maujinga mengi ambayo hata kiakili na Scientifically hayaingii akilini , sasa nikitaka kuwa kama Wapuuzi Extremists Galatians kujaza nyuzi kwa ajili ya kudhihaki mafundisho yenu si mtakimbia humu ?
Sio kama siwezi ila naona battle hizo hazina maana na Nina mengi ya kufanya .View attachment 3328922
Haya mambo ukiyafikiria utaona dini zote ni ukichaa na kisayansi inawezekana vipi mtu kuzaliwa bila baba?, Je inawezekana vipi kisayansi mtu kutembea juu ya maji?, inawezekana vipi kisayansi ndege wa udongo kugeuka akawa ndege wa kweli mwenye uhai?...unaona Sasa, Mimi naona hakuna haja ya mtu kushangaa ama kubeza dini ya mwenzako kuwa ni ya mchongo maana Kuna mambo chungu nzima kidini kwenye sayansi hayawezekani, yaani kama ni chizi basi ni machizi yanachekana.