adriz
JF-Expert Member
- Sep 2, 2017
- 17,595
- 39,893
Kwanza kuamini kuwa Yesu ni Mungu ni upumbavu na ujuha mkubwa zaidi kuwahi kutokea , eti mtu anajua Yeye ni Mungu muweza wa yote kwa nini Msalabani aombe kukombolewa hii inaingia akili You Scumbag?Kwani Mungu anashindwa kutembea juu ya maji? Mbona alikuwa anafufua wafu na kuwapa ndege na wanyama uzima? Ndo ashindwe kutembea kwenye maji?
Kubali Tu Mudi is a disgrace, bogus and reject.
min -me Adiosamigo Imeloa
Nyau de adriz
Mungu apigwe nyundo , misumari na kuvuliwa nguo kuanikwa juu Kinyambulet hii inaingia akili wewe Nyabumbu?
Soma hiyo chini nilimQuote Mtibeli Robert Heriel Humu