Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

Dah kweli dini na sayansi haitakuja zipatane, Uislamu wanaamini mtoto mchanga hulia kisa ameguswa na shetani

Uzuri kwenye Ukristo huwa hawajinadi kuwa dini inayoendana na sayansi kama ujuha wa kwenu huko.
Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.

Msimamo wa kielimu ni kwamba Sayansi ndio inatakiwa iendane na Qur'an sababu Sayansi ina mapungufu Qur'an haina mapungufu.
 
Uzuri kwenye Ukristo huwa hawajinadi kuwa dini inayoendana na sayansi kama ujuha wa kwenu huko.
Una uhakika na unacho kinena ?

Mbona unaGenaralize Kimangoto ? hapa hapa Jf naweza kuleta nyuzi zaidi ya Moja Magalatia yakidai na kusijifia kuwa Bible inaendena na Sayansi.
 
Kwa mujibu wa kitabu Cha yoshua ndani ya biblia,jua lilisimama Dede👀,kupisha vita ya Israel mpaka waliposhinda ndo likaendelea na mambo yake😀😀😀
 
Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.

Msimamo wa kielimu ni kwamba Sayansi ndio inatakiwa iendane na Qur'an sababu Sayansi ina mapungufu Qur'an haina mapungufu.

Yaani pale tu umeamini kwenye uwepo wa Mungu, moja kwa moja wewe na sayansi mumetengana, sasa wapo waislamu wengi duniani ikiwemo wasomi wanaojinadi kwamba uislamu ndio dini pekee inayoendana na sayansi kisa sijui kwenye quran imesema eti Mungu aliumba binadamu kwa kutumia manii, na kwa vile Sayansi hueleza namna binadamu hutokana na sperms ikichanganyikana na mbegu za kike, sasa hiyo ni ushahidi tosha kuwa quran na sayansi zinaendana.
 
Kwa mujibu wa kitabu Cha yoshua ndani ya biblia,jua lilisimama Dede👀,kupisha vita ya Israel mpaka waliposhinda ndo likaendelea na mambo yake😀😀😀

Wakristo hawajinadi kuendana na sayansi, hivyo haina haja ya kuleta matukio ya kimiujiza yaliyotajwa kwenye Biblia.
 
Una uhakika na unacho kinena ?

Mbona unaGenaralize Kimangoto ? hapa hapa Jf naweza kuleta nyuzi zaidi ya Moja Magalatia yakidai na kusijifia kuwa Bible inaendena na Sayansi.

Kama nilivyosema, imani tu ya uwepo wa Mungu hiyo imetosha kukutenganisha na sayansi, iwe Mkristo au Muislamu au Mbudha. Tatizo kubwa ni dini yenu kupenda ligi dhidi ya dini ilizozikuta, hamtaki muishi kwa amani ka kuhubiri mavitu yenu bila chokochocko, dini yenu imebuniwa juzi na ndio changa kwa zote, huyo Allah hakuna sehemu yoyote ametajwa kihistoria kabla ya Mohammad kuja na kuanzisha hiyo dini na kulazimisha watu wajiunge.
Yesu aliondoka huku akihubiri amani, kwamba ukipigwa shavu hili geuza na la pili, mitume wake Yesu wakahubiri amani, wakauawa kikatili na hakuna aliyediriki kupigana, ila miaka 500 baadaye akaja Mohammad na kuanzisha dini yake na kufanya mauaji na maukatili mengine mengi ikiwemo kuua Wayahudi wa Banu Qurayza na kuuza watoto wao utumwani, na mauchafu mengine mengi hata kuchafua kingono katoto Aisha kakiwa na umri wa miaka tisa, hayo yote ni kinyume na yote aliyohubiri Yesu.
 
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ?
Mleta Mada ameweka sehemu ya hadith inayoeleza kuwa watoto wote duniani waliguswa na shetani pindi walipozaliwa isipokua Mary na mtoto wake tu..

Sasa kama hilo la kutoguswa na shetani lilioandikwa kwenye hadith unakubaliana nalo, kwa nini isiwezekane mtoto huyo mwenye utofauti kutembea juu ya maji?
 
Haya mambo ukiyafikiria utaona dini zote ni ukichaa na kisayansi inawezekana vipi mtu kuzaliwa bila baba?
Quran imeeleza vivyohivyo kuwa Yesu alizaliwa bila baba wa kibinadamu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.

Kama kuna ukichaa, sasa kwa nini hili jambo lifanane kwa dini mbili zinazopingana?
 
Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛

main-qimg-607ace486e606c5156fa34eb2e48ec3a
Mihuni hiyo.Usiiamini.
 
Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?

Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Ukweli mchungu kuhusu aya ama maneno yaundayo Quran, ni Aya za Shetani mwenyewe, yaani "Satanic Verses"

Kila neno lililopo ndani yake linatokana na Ibilisi mwenyewe ambaye amejificha kwa jina la "Allah"
 
Quran imeeleza vivyohivyo kuwa Yesu alizaliwa bila baba wa kibinadamu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.

Kama kuna ukichaa, sasa kwa nini hili jambo lifanane kwa dini mbili zinazopingana?
Hapa nilikuwa naongelea wale wanaobeza dini nyingine kuwa Kuna vitu vya kufikirika ilihali hata kwenye dini nyingine hivi vitu vipo, hivyo basi haifai kubezana kwasababu ya dini zetu.
 
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Kwani Mungu anashindwa kutembea juu ya maji? Mbona alikuwa anafufua wafu na kuwapa ndege na wanyama uzima? Ndo ashindwe kutembea kwenye maji?

Kubali Tu Mudi is a disgrace, bogus and reject.

min -me Adiosamigo Imeloa

Nyau de adriz
 
Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛

main-qimg-607ace486e606c5156fa34eb2e48ec3a
Dini ni iman, scienc is based on facts and physical world.
ni kama maji na mafuta
 
Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani 😀 😀 😀 😀 😀 😛 😛

main-qimg-607ace486e606c5156fa34eb2e48ec3a
Nimecheka kwa sauti aisee.. hii mbaya sana hii
 
Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?

Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Kwani Wagalatia nao walishawahi kujilinganisha au kujipaisha kiubora kwa Sayansi kama Wavaa kobazi?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Haya mambo ukiyafikiria utaona dini zote ni ukichaa na kisayansi inawezekana vipi mtu kuzaliwa bila baba?, Je inawezekana vipi kisayansi mtu kutembea juu ya maji?, inawezekana vipi kisayansi ndege wa udongo kugeuka akawa ndege wa kweli mwenye uhai?...unaona Sasa, Mimi naona hakuna haja ya mtu kushangaa ama kubeza dini ya mwenzako kuwa ni ya mchongo maana Kuna mambo chungu nzima kidini kwenye sayansi hayawezekani, yaani kama ni chizi basi ni machizi yanachekana.
Wote ni wale wale tu si sayansi wala dini. Msichojua ubongo wa Binadamu ushatumika 10% katika maarifa yote duniani na yanayoendelea, inamaana bado kuna siri nyingi sana ambazo Binadamu kafichwa na aliyemuumba ambapo na ziko nnje ya uwezo wa Binadamu kiuvumbuzi, kiushahidi na kiutendaji na utekelezaji.

Simple logic questions to Scientists;
  • What is the human being's main source?
  • Why the main human being's power to live "oxygen" doesn't physically and visibly caught like trees or stones?
  • Why do the people die, what's a source of it and why it is not permanently overcomed "death"?
  • Where to go after passing away from this world?
You can find that the most above questions don't have any relevant answers with empirical evidences.
Bila dini utagundua Binadamu ni kama kuku tunaowafuga ila hatujui tumetokea wapi, tunafanya nini na baada ya hapa tutaenda wapi.
Dini = Imani, Sayansi = Utafiti na ushahidi ila vyote vina faida na viko limited sababu ya uwezo wa ubongo wa Binadamu unavyochakata na ulipokomea.

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.

Msimamo wa kielimu ni kwamba Sayansi ndio inatakiwa iendane na Qur'an sababu Sayansi ina mapungufu Qur'an haina mapungufu.
Sayansi ina mapungufu nakati Bila sayansi usingejua kuhesabu na ungedhulumiwa vya kutosha?

Si sayansi ndiyo hutumika kugundua umeumia kiasi gani baada ya kupatwa na ajali na hukutibu kupitia upasuaji, ushonaji, dawa na hata kukuuguza?

Sayansi ndiyo huvumbua vitu vingi sana vya kiteknolojia, kama Robots, Iron dome, drones, computers na hata simu yako unayotumia sasa hivi.

Unatumia nini kufikiri na kujenga hoja?

Ubinadamu ni kazi/The humanity is work.
 
Back
Top Bottom