Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.Uzuri kwenye Ukristo huwa hawajinadi kuwa dini inayoendana na sayansi kama ujuha wa kwenu huko.
Una uhakika na unacho kinena ?Uzuri kwenye Ukristo huwa hawajinadi kuwa dini inayoendana na sayansi kama ujuha wa kwenu huko.
Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.
Msimamo wa kielimu ni kwamba Sayansi ndio inatakiwa iendane na Qur'an sababu Sayansi ina mapungufu Qur'an haina mapungufu.
Kwa mujibu wa kitabu Cha yoshua ndani ya biblia,jua lilisimama Dedeπ,kupisha vita ya Israel mpaka waliposhinda ndo likaendelea na mambo yakeπππ
Una uhakika na unacho kinena ?
Mbona unaGenaralize Kimangoto ? hapa hapa Jf naweza kuleta nyuzi zaidi ya Moja Magalatia yakidai na kusijifia kuwa Bible inaendena na Sayansi.
Mleta Mada ameweka sehemu ya hadith inayoeleza kuwa watoto wote duniani waliguswa na shetani pindi walipozaliwa isipokua Mary na mtoto wake tu..Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ?
Quran imeeleza vivyohivyo kuwa Yesu alizaliwa bila baba wa kibinadamu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.Haya mambo ukiyafikiria utaona dini zote ni ukichaa na kisayansi inawezekana vipi mtu kuzaliwa bila baba?
Mihuni hiyo.Usiiamini.Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani π π π π π π π
Ukweli mchungu kuhusu aya ama maneno yaundayo Quran, ni Aya za Shetani mwenyewe, yaani "Satanic Verses"Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Hapa nilikuwa naongelea wale wanaobeza dini nyingine kuwa Kuna vitu vya kufikirika ilihali hata kwenye dini nyingine hivi vitu vipo, hivyo basi haifai kubezana kwasababu ya dini zetu.Quran imeeleza vivyohivyo kuwa Yesu alizaliwa bila baba wa kibinadamu kama ilivyoandikwa kwenye Biblia.
Kama kuna ukichaa, sasa kwa nini hili jambo lifanane kwa dini mbili zinazopingana?
Kwani Mungu anashindwa kutembea juu ya maji? Mbona alikuwa anafufua wafu na kuwapa ndege na wanyama uzima? Ndo ashindwe kutembea kwenye maji?Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Kaka naona umenitag na mvaa kobazi ππKwani Mungu anashindwa kutembea juu ya maji? Mbona alikuwa anafufua wafu na kuwapa ndege na wanyama uzima? Ndo ashindwe kutembea kwenye maji?
Kubali Tu Mudi is a disgrace, bogus and reject.
min -me Adiosamigo Imeloa
Nyau de adriz
Dini ni iman, scienc is based on facts and physical world.Kuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani π π π π π π π
Ndiyo, mimi ninajua zaidi yake.kwanini unapinga?
wewe unajua zaid ya mtume na mwenyezi Mungu?
Nimecheka kwa sauti aisee.. hii mbaya sana hiiKuna watu hung'ang'ania kwamba eti dini ya uislamu ndio ambayo inaendana na sayansi licha ya kuwa na mambo yasiyo kabisa, ikiwemo kudai eti Mohammad kapasua mwezi vipande viwili, mara sijui alipaa na farasi hadi sayari ya mbali.
Sasa hapa nimekutana na hii eti mtoto anapozaliwa, kile kilio cha kwanza hutokana na kuguswa na shetani π π π π π π π
Kwani Wagalatia nao walishawahi kujilinganisha au kujipaisha kiubora kwa Sayansi kama Wavaa kobazi?Kila siku nasema humu Extremists Galatians kuwa hamna akili mkiongozwa na mleta mada MK254 , sasa tukitaka masuala yote ya kidini tujadili kwa mtasamo wenu finyu si mtakimbia nikianza kuichambua Maboko na Maujinga yaliyomo katika Bible ?
Tuanze Moja la Yesu kutembea juu maji . Je , kisayansi inawezekana ? You The Mongolian Savage Pathetic Scumbag nenda Posta katembee juu ya bahari kama Yesu tukuone Maarass!!
Wote ni wale wale tu si sayansi wala dini. Msichojua ubongo wa Binadamu ushatumika 10% katika maarifa yote duniani na yanayoendelea, inamaana bado kuna siri nyingi sana ambazo Binadamu kafichwa na aliyemuumba ambapo na ziko nnje ya uwezo wa Binadamu kiuvumbuzi, kiushahidi na kiutendaji na utekelezaji.Haya mambo ukiyafikiria utaona dini zote ni ukichaa na kisayansi inawezekana vipi mtu kuzaliwa bila baba?, Je inawezekana vipi kisayansi mtu kutembea juu ya maji?, inawezekana vipi kisayansi ndege wa udongo kugeuka akawa ndege wa kweli mwenye uhai?...unaona Sasa, Mimi naona hakuna haja ya mtu kushangaa ama kubeza dini ya mwenzako kuwa ni ya mchongo maana Kuna mambo chungu nzima kidini kwenye sayansi hayawezekani, yaani kama ni chizi basi ni machizi yanachekana.
Sayansi ina mapungufu nakati Bila sayansi usingejua kuhesabu na ungedhulumiwa vya kutosha?Wanaosema Qur'an inaendana na Sayansi na kufosi iwe hivyo hao sio Wasomi wa dini na hawaijui vizuri dini kwa maana mtu wa hivyo akiletewa Aya za Qu'ran zinazopingana na Sayansi ni rahisi kutetereka na kukamatwa kwa hoja.
Msimamo wa kielimu ni kwamba Sayansi ndio inatakiwa iendane na Qur'an sababu Sayansi ina mapungufu Qur'an haina mapungufu.