Adiosamigo
JF-Expert Member
- Oct 2, 2013
- 7,681
- 9,892
Kichaa huwa anarusha mawe lakini hafahamu kawarushia wasio na hatiaNikome kabisa ostaz, mimi sio mlala watoto na wanawake wazee kama mtume wenu mohammad🤣🤣🤣🤣
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Kichaa huwa anarusha mawe lakini hafahamu kawarushia wasio na hatiaNikome kabisa ostaz, mimi sio mlala watoto na wanawake wazee kama mtume wenu mohammad🤣🤣🤣🤣
Ukiwa na vita na maarabu au haya misukule yao lazima upige haswa yachakae haswa si unaona hata Israel inavyowafinya kisawa sawaMbona unatoa silaha za nyuklia,Du!
Sema umeshatoa Silaha zote sidhani una nyingine.Ukiwa na vita na maarabu au haya misukule yao lazima upige haswa yachakae haswa si unaona hata Israel inavyowafinya kisawa sawa
Watu wanakula bata hapo GazaSema umeshatoa Silaha zote sidhani una nyingine.
Leta katuni nyingine ya nyuklia 😂
Watu wametangulia Kwa mabikra 72 na mito ya pombe .Watu wanakula bata hapo Gaza
Na Hamas wakibaki wenyewe?Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.
Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Labda segereaHana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.
Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
babaaa ziko za kutosha sema nyingine nikishusha hapa ni halali kupewa ban ya maisha... ngoja niku PM check your inboxSema umeshatoa Silaha zote sidhani una nyingine.
Leta katuni nyingine ya nyuklia 😂
Naskia kuna shanga za bendera ya Israel zimeombewa na maji ya uzima wa milele.Marekani sio Iran inayokupa jeuri na kula kona. Tulieni hivyohivyo kwenye handaki kama panyabuku
Waisraeli wa bonyokwa naskia mmeanza kuitana "bibi". Ili kupata baraka za neta-nyauAmka utajikujolea ni nani hyo wa kumfunga Bibi? Yaani ulikoroge ww zen msala umwachie jirani.
Sema waarabu wana tatizo la asili ya kutoelewana na unafiki. Maana kama ni Nuclear hata Saudi Arabiana Pakistan wanazo. Uwezekano ni mkubwa pia wa Iran kuwa nayo kwa sasa.Ulumbuke Israel wana ule uchawi( nuclear) nchi za kiarabu mkimvamia anawalipua, inashangaza siku hizi inatembea na kibeg kidogo ambacho anakuwa nacho mlinzi wake, inawezekana kina remote ya kubonyeza kitufe Cha nyuklia.
Netanyahu ni psyotric man vita ni washirika , Israel anaoigana modern war hamasi anapiga loca war .. na hana cha kupotezaHuku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.
Israel imesema iko tayari kuhamisha watoto waliomo humo na yeyote ambaye yuko tayari kutoka ila kipigo kitaendelea.
Mataifa ya waarabu yanaongea ongea tu, ilhali humu JF wafuasi wa ile dini wanatukana balaa, tusubiri mwisho wake.
View attachment 2811138
======================
Israel's prime minister pushed back Saturday against calls from Western allies to do more to protect Palestinian civilians, as troops encircled Gaza's largest hospital where doctors said five patients died — including a premature baby — after the last generator ran out of fuel.
A cease-fire would be possible only if all 239 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.
The Israeli leader also insisted that after the war, now entering its sixth week, Gaza would be demilitarized and Israel would retain security control there. Asked what he meant by security control, Netanyahu said Israeli forces must be able to enter Gaza freely to hunt down militants.
He also rejected the idea that the Palestinian Authority, which currently administers autonomous areas in the Israeli-occupied West Bank, would at some stage control Gaza. Both positions run counter to post-war scenarios floated by Israel's closest ally, the United States. Secretary of State Antony Blinken has said the U.S. opposes an Israeli reoccupation of Gaza and envisions a unified Palestinian government in both Gaza and the West Bank at some stage as a step toward Palestinian statehood.
For now, Netanyahu said, "the war against (Hamas) is advancing with full force, and it has one goal, to win. There is no alternative to victory."
![]()
Main Gaza hospital goes dark during intense fighting; Netanyahu says no cease-fire possible until all hostages released
A cease-fire would be possible only if the more than 200 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.www.cbsnews.com
Israel wakiemdele kupigan kwa kwa miezi 3 mingine inafikisikaIsrael Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.
Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Nastaajabu bado kuna watu wanamuunga mkono muisrael dah!Israel wakiemdele kupigan kwa kwa miezi 3 mingine inafikisika
Hamas hawaja manana??Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.
Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Mrusi na Yahudi ni Chanda na PeteHii vita haijaanzishwa na influence ya Mrusi kweli kupitia Iran? [emoji1787][emoji1787][emoji1787]