Moisemusajiografii
JF-Expert Member
- Nov 3, 2013
- 43,960
- 77,533
Swadakta ndugu kibwe.Mpambano unaendelesje hapo Gaza?Ndugu yako akiwa kibwengo basi na ww n kibwengo mkubwa.
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Swadakta ndugu kibwe.Mpambano unaendelesje hapo Gaza?Ndugu yako akiwa kibwengo basi na ww n kibwengo mkubwa.
Wavaa kobazi akili yao kijiko hakijai,wakipewa biriani na tende wamelainika.Dunia imejaa wanafiki wengi sana...mtu kawaambia wenzake waanzishe vita yeye yupo Qatar anabwabwaja tu..
Endelea kuzidi kumpa moyo rafiki yako. Ukifa ukiwa mkiristo utakuwa kuni huko twendakoWewe ulishaenda peponi ukaona wakiristo wakiwa kuni katika moto wa allah
Hivi ni vita vya kidiniGuys both of you please stop this madness you guys went too far put aside your religion emotional hii vita sio vita vya dini ni people are fighting for their own interests (ardhi mipaka Lakini kubwa zaid ambalo maskini haliongelewi na watu Gaza strip Kuna natural gas baharini estimate 28.5 billion cubic meter (BCM) hivyo vyote vinawatoa mate mabwanyenye ya Hamas yaliyopo Qatar na mabepari ya Israel na State) Ila nyinyi mnaona wanapiga Islamic vs Judaism & Christianity daa Kuna Safari ndefu ya kuelewa Mambo kiundani
Hahaha mkuu umeshinda take your medal 🏅Hivi ni vita vya kidini
Kafiri ndio anajua hivi sio vita vya kidini
Wewe hujitambui, unachokishadidia hujui mwisho wake ni niniHuku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.
Israel imesema iko tayari kuhamisha watoto waliomo humo na yeyote ambaye yuko tayari kutoka ila kipigo kitaendelea.
Mataifa ya waarabu yanaongea ongea tu, ilhali humu JF wafuasi wa ile dini wanatukana balaa, tusubiri mwisho wake.
View attachment 2811138
======================
Israel's prime minister pushed back Saturday against calls from Western allies to do more to protect Palestinian civilians, as troops encircled Gaza's largest hospital where doctors said five patients died — including a premature baby — after the last generator ran out of fuel.
A cease-fire would be possible only if all 239 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.
The Israeli leader also insisted that after the war, now entering its sixth week, Gaza would be demilitarized and Israel would retain security control there. Asked what he meant by security control, Netanyahu said Israeli forces must be able to enter Gaza freely to hunt down militants.
He also rejected the idea that the Palestinian Authority, which currently administers autonomous areas in the Israeli-occupied West Bank, would at some stage control Gaza. Both positions run counter to post-war scenarios floated by Israel's closest ally, the United States. Secretary of State Antony Blinken has said the U.S. opposes an Israeli reoccupation of Gaza and envisions a unified Palestinian government in both Gaza and the West Bank at some stage as a step toward Palestinian statehood.
For now, Netanyahu said, "the war against (Hamas) is advancing with full force, and it has one goal, to win. There is no alternative to victory."
![]()
Main Gaza hospital goes dark during intense fighting; Netanyahu says no cease-fire possible until all hostages released
A cease-fire would be possible only if the more than 200 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.www.cbsnews.com
Mm sipo gaza labda ww iliye gaza na vikosi vya Israel unaweza kutupa habari.Swadakta ndugu kibwe.Mpambano unaendelesje hapo Gaza?
Kuna watu wanachakazwa kwa kipigo cha hatari.Tufumbe macho tuwaombee dua njema ndugu zetu katika imani!🤔🙏Mm sipo gaza labda ww iliye gaza na vikosi vya Israel unaweza kutupa habari.
Ulishafika peponi ama unabwabwaja tu?Endelea kuzidi kumpa moyo rafiki yako. Ukifa ukiwa mkiristo utakuwa kuni huko twendako
Kwa sasa Hamas imekalishwa mno, hata wao hawakutegemeaAriel Sharon na Netanyahu ndiyo kiboko ya Hamas
Iran mstari wao ushavukwa ila hajafanya kituMarekani sio Iran inayokupa jeuri na kula kona. Tulieni hivyohivyo kwenye handaki kama panyabuku
Which history you talking about?!History will remember Nyau as a war criminalView attachment 2811280
Huku Israel ikiendelea kushambulia hospitali ambapo magaidi ya HAMAS yameweka kama makao makuu yao, waziri mkuu amesema hatositisha mashambulizi hata kama dunia yote itakua dhidi ya Israel, yaani hata maandamano yafanywe mpaka wapi hataocha mpaka HAMAS wauawe wote humo.
Israel imesema iko tayari kuhamisha watoto waliomo humo na yeyote ambaye yuko tayari kutoka ila kipigo kitaendelea.
Mataifa ya waarabu yanaongea ongea tu, ilhali humu JF wafuasi wa ile dini wanatukana balaa, tusubiri mwisho wake.
View attachment 2811138
======================
Israel's prime minister pushed back Saturday against calls from Western allies to do more to protect Palestinian civilians, as troops encircled Gaza's largest hospital where doctors said five patients died — including a premature baby — after the last generator ran out of fuel.
A cease-fire would be possible only if all 239 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.
The Israeli leader also insisted that after the war, now entering its sixth week, Gaza would be demilitarized and Israel would retain security control there. Asked what he meant by security control, Netanyahu said Israeli forces must be able to enter Gaza freely to hunt down militants.
He also rejected the idea that the Palestinian Authority, which currently administers autonomous areas in the Israeli-occupied West Bank, would at some stage control Gaza. Both positions run counter to post-war scenarios floated by Israel's closest ally, the United States. Secretary of State Antony Blinken has said the U.S. opposes an Israeli reoccupation of Gaza and envisions a unified Palestinian government in both Gaza and the West Bank at some stage as a step toward Palestinian statehood.
For now, Netanyahu said, "the war against (Hamas) is advancing with full force, and it has one goal, to win. There is no alternative to victory."
![]()
Main Gaza hospital goes dark during intense fighting; Netanyahu says no cease-fire possible until all hostages released
A cease-fire would be possible only if the more than 200 hostages held by militants in Gaza are released, Israeli Prime Minister Benjamin Netanyahu said in a televised address.www.cbsnews.com
Endelea kumpoteza mwenzio tu. Mpe moyo lkn moto mkali unakusubirini kama hamtaingia ktk uislamUlishafika peponi ama unabwabwaja tu?
Chuki zimekujaa moyoni
Ulishafika peponi ama unabwabwaja tu?
Chuki zimekujaa moyoni
HAMAS waliyafikiria matokeo tarajiwa kabla ya kufanya upumbaff wao wa kuvamia Israel na kuua watu hovyo na kisha kuteka?Walidhani watachekewa na kutetewa?
Jibu swali.Ulishawahi kufika peponi na kuona aina ya kuni zitumikazo wakati jua linazama kwenye tope?Endelea kumpoteza mwenzio tu. Mpe moyo lkn moto mkali unakusubirini kama hamtaingia ktk uislam
Kafiri huoni mbali. Jiulize kwanini hutumii pua kunya. Kama mkiristo basi ujue ukifa ukiwa mkiristo basi upo ktk hasara kubwaJibu swali.Ulishawahi kufika peponi na kuona aina ya kuni zitumikazo wakati jua linazama kwenye tope?