Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Hata ukijibu ujinga usielimishwe?
Una elimu gani ya kunielimisha ww? 😀😀😀😀 yaani ww usiye jua hata historia ya vita ya Israel ilipigana vita na nchi ngapi za kiarabu ndo uje kunipa elimu?
Ume niuliza iwapo Marekani aliisaidia Israel na mm nikakujibu ya kuwa asinge acha kuisaidia kwasababu yeye ndo aliye ianzisha sasa angeachaje ifutwe?
 
Duh yaani umeamuwa kujianika hadharani kabisa jinsi unavyo shughulikiwaga?
kwamba mimi ndio mudi eti ?! Mimi ni huyo kafir hapo na sio shoga Mudi
Screenshot_20231112-094008_Vault.jpg
 
KAFIRI UMEAMKA MAPEMA KULETA PROPAGANDA? VIPI WALE MAJASUSI WALIOFANYA KWENDA KUIJIFUNZA KILIMO MSHAWAOKOA?
We punguani. Unabeza raia watanzania walotekwa na HAMAS kutetea miarabu really?
 
Mtu anaye wapanua mapaja dada na binti zako ni razima umuheshimu hata kama hutaki.
Hadi unaniquote mara mbili inaonekana hili swala la vijana wa kiislam kupakatwa limekugusa,safi sana
 
Huo umati unaofanya maandamano ulaya na america ni umati wa kiislam ambao inajulikana wako kinyume na israel. Kwenye hayo maandamano hukuti mkristo hata mmoja. Hao ni waislam na wapagani
 
Sasa watasafiswaje hali ya kuwa wako buse na watoto badala ya kupambana na Hamas?

Ww kwenye nchi yako ambayo sio uwanja wa kufanyia ugaidi mna maendeleo gani zaidi ya kunuka umasikini na harufu za uvundo kila sehemu.
Ww ni ndina kweli watu wanapigania ardhi yao ww unawaita magaidi , nyie wafuasi wa ccm mna funza kichwani.

Hiyo Intelegensia ya Israel inacho jua ni hamas kutumia Ambulance,na hospital kujificha ila hiyo hiyo imeshindwa kujua mateka walipo.
Mtoto w gaidi ni gaidi wa baadaye kwa hiyo unampa haki yake mapema. Pili
Hamas wanatumia public space kama mahospital makanisa miskiti mashule kama sehem ya kujifichia wakiamini israel hatopiga sasa kinachfanyika n nn ujue Israel anafumua tu kuwepo gaidi mmoja na wema mia mnakula wte sahani moja.
 
Kivipi ?ebu fafanua ueleweke.
Kwamba Serikali ya Israeli inafuata utawala wa sheria ndio maana wanaweza kumfunga Netanyahu.
Tofauti na Serikali ya ccm isiyofuata utawala sheria.
Viongozi wanajiamulia tu kuvunja sheria
 
Sasa watasafiswaje hali ya kuwa wako buse na watoto badala ya kupambana na Hamas?

Ww kwenye nchi yako ambayo sio uwanja wa kufanyia ugaidi mna maendeleo gani zaidi ya kunuka umasikini na harufu za uvundo kila sehemu.
Ww ni ndina kweli watu wanapigania ardhi yao ww unawaita magaidi , nyie wafuasi wa ccm mna funza kichwani.

Hiyo Intelegensia ya Israel inacho jua ni hamas kutumia Ambulance,na hospital kujificha ila hiyo hiyo imeshindwa kujua mateka walipo.
Israel inajua kabisa mateka walipo ila inachofanya kwa sasa ni kuusafisha kwanza mji wa Gaza. Tunaposema kuwa mwaka huu mmeyatimba muwe mnaelewa.
 
Israel anawekwa na hao viongozi wa kiarabu, Saud Arabia, Egypt, Jordan hawa ndio wanazuia vijana wa kiarabu wasiende Gaza lakini Israel siku mbili habaki hapo yeye na America.

Warabu number ingine kwenye vita we unadhani Gaza tu Israel kasaidiwa na mataifa yote ya ulaya na America na Canada na bado hashindi vita.

Nikupe mengine Wasaud Arabia, Morocco, UAE, na warabu wengine wametekwa na HAMASI
Mwaka huu mtaona kila aina ya rangi ila kisago kiko palepale
 
Una elimu gani ya kunielimisha ww? 😀😀😀😀 yaani ww usiye jua hata historia ya vita ya Israel ilipigana vita na nchi ngapi za kiarabu ndo uje kunipa elimu?
Ume niuliza iwapo Marekani aliisaidia Israel na mm nikakujibu ya kuwa asinge acha kuisaidia kwasababu yeye ndo aliye ianzisha sasa angeachaje ifutwe?
Kwa uandishi wako huo na wewe unahisi unajua kitu? Kibwengo mmoja hivi!
 
Navyoona Hamas wataachia tu mateka na huenda wakajisalimisha!
 
Back
Top Bottom