Dah! Netanyahu amesema kichapo kitaendelea hata kama Israel itabaki yenyewe

Hana hiyo jeuri ya kupigana vita bila ungaji mkono kutoka kwa wamagharibi.

Netanyau vita ikiisha tu anaenda jera ndio maana anajaribu kurefusha ili kusogeza siku za kwenda jera mbele..
Labda segerea
 
Ulumbuke Israel wana ule uchawi( nuclear) nchi za kiarabu mkimvamia anawalipua, inashangaza siku hizi inatembea na kibeg kidogo ambacho anakuwa nacho mlinzi wake, inawezekana kina remote ya kubonyeza kitufe Cha nyuklia.
Sema waarabu wana tatizo la asili ya kutoelewana na unafiki. Maana kama ni Nuclear hata Saudi Arabiana Pakistan wanazo. Uwezekano ni mkubwa pia wa Iran kuwa nayo kwa sasa.
 
Netanyahu ni psyotric man vita ni washirika , Israel anaoigana modern war hamasi anapiga loca war .. na hana cha kupoteza
 
Israel Ikibaki yenyewe hakuna kitu wataweza kufanya, hawana uwezo wa kupigana hata na mungiki wakibaki wenyewe.

Mabwana zao Marekani na Ulaya wakiacha kuwapa silaha na misaada ya kifedha, hakuna kitu tena.
Hamas hawaja manana??
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…