Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Wale wezi ni ma expert,mimi nilikuwa nagombea basi na ni muda mfupi tu nilitoka kuishika simu ikiwa mfuko wa juu wa shati,ile nakaa kwenye kiti kushika mfukoni simu haipo nikachoka kabisa...
 
Acha upuuzi kijana yaani mtu anakukanyaga bila sababu unamshangaa badala ya kumzibua makofi au ngumi... Na bado unapapaswa hadi cm inaibwa hujitambui... Vijana wa sikuhiz hopeless useless na bado unakuja kutusimulia ujinga wako
 
Msamehe mdogo wangu huyo,tatizo lake ubrazameeeeniiii mwingi
πŸ˜…Anatembea kabonyea na bega moja limepinda
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…