Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Hellow

Mimi siku zote nilikuwa nikiambiwa watu wanaibiwa simu Kariakoo siamini nasemaga uzembe

Leo sasa yamenikuta mimi na bila yule kijana simu ingesepqa bila kujua dah

Mchezo ulikuwa ivi kaja kijana akaanza nikanyaga kwenye mgu uku anasema kuwa ungekanyagwa wewe namna hii ungejisikiaje sasa nikawa namshangaa na kujiuliza kumbe kuna mwezie kasha ingiza mkono mfukon anachukua simu wala sijui

Katokea kijana akaniita njoo mzee uchukue simu yako nashangaa na kujiuliza haya yametokeaje napewa simu uku mwizi akipigwa makofi nikashukuru basi nikasepa jamaa nampa hela kagoma bado najiuliza yametokeaje haya

Simu yangu bado mpya ata mwezi haijaisha
Wale wezi ni ma expert,mimi nilikuwa nagombea basi na ni muda mfupi tu nilitoka kuishika simu ikiwa mfuko wa juu wa shati,ile nakaa kwenye kiti kushika mfukoni simu haipo nikachoka kabisa...
 
Acha upuuzi kijana yaani mtu anakukanyaga bila sababu unamshangaa badala ya kumzibua makofi au ngumi... Na bado unapapaswa hadi cm inaibwa hujitambui... Vijana wa sikuhiz hopeless useless na bado unakuja kutusimulia ujinga wako
 
Msamehe mdogo wangu huyo,tatizo lake ubrazameeeeniiii mwingi
😅Anatembea kabonyea na bega moja limepinda
 
Back
Top Bottom