Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Mbona mimi natokaga huku Dom na vihela vyangu vya majeneza nakuja Dar kutembea na kumwagilia moyo na huwa naenda sana hiyo Kariakoo lakini sijawahi kuibiwa wala kutapeliwa hata siku moja!
Tena kuna muda natembea nna cash mfukoni hata 1m na nikinunua kitu nachomoa burungutu zima then narudisha mfukoni lakini sijawahi ona hata nzi akinisogelea nahisi hawa jamaa wanaangalia na sura pengine umekaa kama wa kuja au mporipori au umekaa kilokole lokole
Mimi mtu akiniangalia tu sura yangu na body ananiogopa fasta maana nimekaa kishari shari yaani ukijichomeka tu unakula komwe la utosi[emoji41]
 
Kwaion unataka kusemaje
 
๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ˜น๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ๐Ÿ™Œ wezi wajengewe statue
 
Pole na karibu mjini. Next time wkt unatbea maeneo kama hayo tembea ukiwa una maintain security perimeter yako
 
Mkuu kwenye kutapeliwa inaweza Ikawa ngumu ila nakushaur kariakoo atakama unajiamin vip usitoe hela nyingi mbele za watu sisi wenyewe wenyeji tunaliogopa ilo kariakoo kuna michezo mingi Sana ya pesaโ€ฆnakushauri tu isije siku ukalia
 
Anasema yeye wa mujini
 
Karibu darisalama.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn moreโ€ฆ