Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Wizi wa kizamani sana.

Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.

Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.

Pole sana.
Mbona uzoefu 😂
Ukute walishakutingisha hapo Ilala
 
yashawahi nikuta style yao hiyo hyo,nilishangaa tu mtu ananiambia Braza mbona umenkanyaga

akawa kanshka mikono size ya misuli anantksa kwa nguvu huku anaongea madai kwa uchungu brazaaaa kwaniniii umenkanyagaaa lakiniiiiii...

ule mtikisiko ukawa unanshangaza,nashukuuru simu nilipoiweka ilikua tait kidogo kwhyo ukiichomoa lazima nitahisi tu kuna kitu kinatoka, kweli nikahisi hivyo kugeuka jamaa akaniambia BRAZA CHUKUA SIMU YAKO acha noma nisamehe...

nikamfata nikamdaka yeye,pale pale chap chap akanishikisha 20,000 AKANIAMBIA NISAMEHE BRAZA,nikaona isiwe kesi 20 linantosha,nikamzaba tu kofi nikamwambia SEPAAAA....

ila hiyo style kama ni muoga oga na ndio mara yako ya kwanza kukutana na watoto wa mjini SIMU wanaichukua.
 
Wizi wa kizamani sana.

Wanategesha Mguu. Ukiwakanyaga tu, anakushika na kuanza kukutingisha. Maana yake anakuondolea concentration kwenye mifuko na begi lako.

Wakati mmoja anakutingisha, hutosikia kingine kinachoendelea. Unaibiwa.

Pole sana.
😁😁😁👏👏👏
 
Kuna moja Jana tulimfua kinoma mitaa ya karibu na mataaa Kwa wale majamaa wametandaza masuruali pembeni ya bara bara alikua anamwibia mama mtu mzima alitembezewa za fasta fasta hakuamin alikimbia agrey na ndanda
 
Mbona uzoefu 😂
Ukute walishakutingisha hapo Ilala
Hahaha!. Ni kweli, ila nina machale sana. Nikienda kwenye msururu wa watu, kila saa najishika mfukoni. Unaweza kushtukia hata kende hazipo.

Natembea hatua moja, naona uzito umepungua. Kujisearch sina simu. Niligeuka jamaa akanikimbizia simu. Hiyo sura ya mbuzi ilimtisha mno.
 
Sawa pole
 
Uyu mshamba tu npo k/koo robo karne sasa amn kima amewahi nsogelea
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…