Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Shida simu inateleza haikuwa na kava kwahiyo ata aliipo ichukua sikuhis chochote
 
2015 nilipigwa HTC yangu mpyaa pale kariakoo round about kwa staili hiyo hiyo, nlikua naelekea karume...Umenitonesha kidonda mkuu.
🤣🤣🤣🤣 Pole ila nimecheka samahani
 
Wale jamaa jinga sana aliyekupa simu unamshukuru na kumpa hela utadhani ni watu tofauti na aliyekuibia kumbe ni walewale, yaani wamejipanga kukusanya hela kwa njia hiyo ila uzuri hawachukui simu ya mtu, lkn book 5 au 10 lazima ikutoke.
 
Mkuu kwenye kutapeliwa inaweza Ikawa ngumu ila nakushaur kariakoo atakama unajiamin vip usitoe hela nyingi mbele za watu sisi wenyewe wenyeji tunaliogopa ilo kariakoo kuna michezo mingi Sana ya pesa…nakushauri tu isije siku ukalia
Mkuu naijua vizuri Kariakoo tangu ile ya miaka ya 2000
Sijawahi kuogopa kutembea na hela na huwa jamaa wanaishia kunikata jicho tu macho yakikutana wanaufyata
Ujue sometimes mwonekano unaweza kukubeba mie wengi huwa wanahisi ni mjeshi au komando kabisa
Hata hao jamaa wanaowafuataga kujifanya wanauza simu mie huwa hawanisogelei kabisa !
 
Kutapeliwa sio ujinga ila ni kuzidiwa mbinu kidogo tu unajikuta ushalia [emoji1] Mimi sijawah kutapeliwa ila kwa biashara zangu nakutana na mapatel wakitaka kuniliza wengi Sana yan wengi Sana kwaiyo naonaga kutapeliwa kupo tu unaweza kuwa wa mjin ukazidiwa kete kidogo tu ukawa umeisha Kama Draft tu kete Moja inakumaliza [emoji28][emoji28][emoji28]
 
Af mtu anakuja hapa anasema wakuja pumbavu zake
 
Acha upuuzi kijana yaani mtu anakukanyaga bila sababu unamshangaa badala ya kumzibua makofi au ngumi... Na bado unapapaswa hadi cm inaibwa hujitambui... Vijana wa sikuhiz hopeless useless na bado unakuja kutusimulia ujinga wako
Ukifanya hivyo utazua farangati kumbuka waliokuzonga wako 4 au 5
 
Sura ngumu wapi mzee ujaingia King
 
Wale jamaa jinga sana aliyekupa simu unamshukuru na kumpa hela utadhani ni watu tofauti na aliyekuibia kumbe ni walewale, yaani wamejipanga kukusanya hela kwa njia hiyo ila uzuri hawachukui simu ya mtu, lkn book 5 au 10 lazima ikutoke.
Kagomq
 
Mmoja ni Mungu tu maana nilitembea umbali kama wa dakika 10 ndo nikajua nimepigwa
Nikarudi ile sehemu yule Teja bado yupo na kaishika nikamtoa


Mwingine tulimkaba tuliyemkanyaga hadi simu ikaletwa
Kweli uliamuq
 
Kariakoo na kwenye mwendokasi hakikisha simu ipo mkononi na umeikamatia nganganga
 
Kweli uliamuq
Mtaa wa msimbazi pale enzi hizo jioni machinga wanajaa.
Jamaa katuwekea mguu tunamuona, simu ikaenda tukampiga tuliyemkanyaga kofi 1 tu simu ikaletwa tukaikagua tukamwachia.

Afu ubaya wa Kariakoo msaada unakuja ukianza mpiga mtu, ndiyo wengine wanaingilia
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…