Dah! Nusu nilizwe Kariakooo

Wale wezi wanalindwa na watu
 
Acha kabisa lak nne ningepata wapi sasaiv nipo mkavuu mweupe ningeishi bila simu
Mimi niliibiwa pia hivyo hivyo mpaka leo najilaumu kwa nini sikumshtukia mapema.
Ilikuwa hivi: nilikutana na machinga anauza suruali za kutembeza mkononi. Nikavutiwa na mojawapo nikamsimamisha. Basi wakati nikiiangalia hiyo suruali yeye akachukua nyingine akajaribu kunipima nayo kiunoni, mara akaipandisha na kunipima nayo kifuani. Nikashangaa na kumwambia "unanipimaje kifuani, kwani suruali gani inavaliwa hapo. Basi akaiondoa.

Nilipouliza bei tukashindana, ilikuwa bei kubwa. Basi tukaachana. Nimetembea kama hatua 15 hivi ninataka kupiga simu ndipo nikagundua sina simu na nilikuwa nayo kwenye mfuko wa shati. Ndipo nilipotambua sababu ya kupimwa suruali kifuani, alichomoa simu wakati ule.

Nageuka kumrudia jamaa kashatimka, sikumpata yeye wala simu yangu!!
 
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]suruali kifuaniii...!
 
Nimechekaa sana mzee dah Pole et kupima kifuan
 
Siendagi Kariakoo
 
Bora mzee wak anazo angekuwa mwingine ungekuws unakatwa tu
Unahisi anazo basi..ni vile tu mzazi inabidi asimame strong kwajili yako ili asikudisappoint,, si unajua baba hawezi kuonyesha udhaifu mbele ya mtoto wake😌
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…