Mwachiluwi
JF-Expert Member
- Mar 10, 2022
- 25,258
- 48,589
- Thread starter
- #121
Dah ila now upo makinItakua,,,, niliumwa wiki nzima halafu nilichokua naumwa sikijui...sijui mzee alisolve vipi ile issue yani hadi kumuulizaga naogopa🙇♀️🙇♀️
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Dah ila now upo makinItakua,,,, niliumwa wiki nzima halafu nilichokua naumwa sikijui...sijui mzee alisolve vipi ile issue yani hadi kumuulizaga naogopa🙇♀️🙇♀️
Kitengo hicho alipewa mtu mwingne..mimi niliwaambia sitaweza tena maana kila nikienda benki nahisi bado nina kile kiwewe😃😃Dah ila now upo makin
Wale wezi wanalindwa na watuAhahahh mbezi hapo napo pakuangalia san duh Pole nakumbuka nilikuwa naenda arusha wazee wakanipakiza garonne ya arusha one imechoka nilikuwa na hasira uku nagombana na dalai kumbe kuna mtu anataka nichomoa hela siwekagi kwenye walet hasira zika hamia kwake sema sina mkono mwepes
Bora ungetia kampun hasara kubwaKitengo hicho alipewa mtu mwingne..mimi niliwaambia sitaweza tena maana kila nikienda benki nahisi bado nina kile kiwewe😃😃
Mimi niliibiwa pia hivyo hivyo mpaka leo najilaumu kwa nini sikumshtukia mapema.Acha kabisa lak nne ningepata wapi sasaiv nipo mkavuu mweupe ningeishi bila simu
Na wanajuana mzeeWale wezi wanalindwa na watu
Yani we acha tu..nahisi hasara amekula mzee ila ndoivyo tena atafanyaje na mimi ni mtoto wake🤷♀️🤷♀️Bora ungetia kampun hasara kubwa
[emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]suruali kifuaniii...!Mimi niliibiwa pia hivyo hivyo mpaka leo najilaumu kwa nini sikumshtukia mapema.
Ilikuwa hivi: nilikutana na machinga anauza suruali za kutembeza mkononi. Nikavutiwa na mojawapo nikamsimamisha. Basi wakati nikiiangalia hiyo suruali yeye akachukua nyingine akajaribu kunipima nayo kiunoni, mara akaipandisha na kunipima nayo kifuani. Nikashangaa na kumwambia "unanipimaje kifuani, kwani suruali gani inavaliwa hapo. Basi akaiondoa.
Nilipouliza bei tukashindana, ilikuwa bei kubwa. Basi tukaachana. Nimetembea kama hatua 15 hivi ninataka kupiga simu ndipo nikagundua sina simu na nilikuwa nayo kwenye mfuko wa shati. Ndipo nilipotambua sababu ya kupimwa suruali kifuani, alichomoa simu wakati ule.
Nageuka kumrudia jamaa kashatimka, sikumpata yeye wala simu yangu!!
1mKwaion unataka kusemaje
Nimechekaa sana mzee dah Pole et kupima kifuanMimi niliibiwa pia hivyo hivyo mpaka leo najilaumu kwa nini sikumshtukia mapema.
Ilikuwa hivi: nilikutana na machinga anauza suruali za kutembeza mkononi. Nikavutiwa na mojawapo nikamsimamisha. Basi wakati nikiiangalia hiyo suruali yeye akachukua nyingine akajaribu kunipima nayo kiunoni, mara akaipandisha na kunipima nayo kifuani. Nikashangaa na kumwambia "unanipimaje kifuani, kwani suruali gani inavaliwa hapo. Basi akaiondoa.
Nilipouliza bei tukashindana, ilikuwa bei kubwa. Basi tukaachana. Nimetembea kama hatua 15 hivi ninataka kupiga simu ndipo nikagundua sina simu na nilikuwa nayo kwenye mfuko wa shati. Ndipo nilipotambua sababu ya kupimwa suruali kifuani, alichomoa simu wakati ule.
Nageuka kumrudia jamaa kashatimka, sikumpata yeye wala simu yangu!!
Mwenzangu!![emoji28][emoji28][emoji28][emoji28][emoji28]suruali kifuaniii...!
Ndivyo olivyokuwa....Nimechekaa sana mzee dah Pole et kupima kifuan
Bora mzee wak anazo angekuwa mwingine ungekuws unakatwa tuYani we acha tu..nahisi hasara amekula mzee ila ndoivyo tena atafanyaje na mimi ni mtoto wake🤷♀️🤷♀️
Siendagi KariakooHellow
Mimi siku zote nilikuwa nikiambiwa watu wanaibiwa simu Kariakoo siamini nasemaga uzembe
Leo sasa yamenikuta mimi na bila yule kijana simu ingesepa bila kujua dah
Mchezo ulikuwa hivi, kaja kijana akaanza nikanyaga kwenye mgu uku anasema kuwa ungekanyagwa wewe namna hii ungejisikiaje sasa nikawa namshangaa na kujiuliza kumbe kuna mwezie kasha ingiza mkono mfukon anachukua simu wala sijui
Katokea kijana akaniita njoo mzee uchukue simu yako nashangaa na kujiuliza haya yametokeaje napewa simu uku mwizi akipigwa makofi nikashukuru basi nikasepa jamaa nampa hela kagoma bado najiuliza yametokeaje haya.
Simu yangu bado mpya hata mwezi haijaisha
Duh Pole ila jamaa ndio maana aligoma kupunguza bei alikuonea hurumaNdivyo olivyokuwa....
Nilienda kutokana na ukaribu wa huduma na nilichokuwa natakaSiendagi Kariakoo
Unahisi anazo basi..ni vile tu mzazi inabidi asimame strong kwajili yako ili asikudisappoint,, si unajua baba hawezi kuonyesha udhaifu mbele ya mtoto wake😌Bora mzee wak anazo angekuwa mwingine ungekuws unakatwa tu
Sawa mbondei wa.mjiniWanyakyusa bado mna mambo ya ukijiji sana na ushamba
Angekuwa na huruma asingeniibia nyang'au yule!!Duh Pole ila jamaa ndio maana aligoma kupunguza bei alikuonea huruma