mcTobby
JF-Expert Member
- Feb 16, 2018
- 4,072
- 12,119
Asee.. pole ..bar 10 sio mchezo[emoji850][emoji850][emoji850]Ila maisha jamani...tukio lako limenikumbusha niliwahi pigwa milioni 10 ya kampuni,, ile natoka benki nilikua na begi na bahasha sijui walikua wananifuatilia mbwa wale,, hadi nafika ofisini sielewi kinachoendelea najikuta niko na bahasha tu begi sina la hela...ile siku ilibidi wanipeleke mirembe tu kwakweli maana niliwehuka kabisa...yani boss asingekua anafahamiana na mzee nahisi mpaka leo ningekua nakatwa mshahara[emoji2][emoji2][emoji2][emoji2]..ndomana mtu akiniambia ameibiwa nabaki nacheka tu kwasababu maumivu yake nayajua[emoji2356][emoji2356]