Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

Wao huwa wanaona ujanja kula kula na kunywa vya watu ndo waliwe, asipokula vyako na ukamla anaona kama umemdharau... ajabu ni kwamba hao hao wakiombwa waliwe ili wapewe ajira ndo wanakumbuka ni dhambi.

Binafsi siwezi kumheshimu au kumdharau mtu kisa ni mwanamke, heshima yangu anatakiwa kui earn, otherwise naenda nao wanavoenda na mimi.
 
Ulichosahau ni ile tabia yao ya kushinikiza kutuma na ya kutolea.
 
Acha kutafta demu wewe hizo ni mbinu zako za kutafta wanawake humu tushasanuka, wanawake msidanganyike
 
N
Ndio mana pesa zao Huwa hawatoi
 
ila wa sikuizi ni katili na wana nyodo mbaya sana,

we cheki kwenye mikoba yao wamebeba P2 ambavyo kwao ni kama vichonjio vya vizaigoti, hataki mimba kabisa,

halafu wengine anazaa mtoto halafu anatupa kichanga kilicho hai chooni kwenye shimo la taka au porini,

Just imagine the level of ukatili kwenye hilo?

hivi wameua viongozi wa ngapi wa nchi hii kwa kutoa mimba?🐒
 
Dunia inawqdanganya....

Ndio maana wanawake wanawapiga vibomu hadi mnabaki mmevaa suruali zimepauka au vilaka. Mnadhani wanawake ni watu wa kuhurumiwa na wao wanachukulia hii advantage.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…