fimboyaukwaju
JF-Expert Member
- Aug 3, 2020
- 2,977
- 3,798
- Thread starter
- #41
ukilinganisha na mateso wanayopata wanawake wanalinganaNi baya gan hapo juu ambalo mwanaume hatendewi dunia ya sasa??!!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
ukilinganisha na mateso wanayopata wanawake wanalinganaNi baya gan hapo juu ambalo mwanaume hatendewi dunia ya sasa??!!
Una akili sana we mwanamke.Mwanamke kuteseka ni uzembe wake asitupiwe lawama mwanaume
Ulichosahau ni ile tabia yao ya kushinikiza kutuma na ya kutolea.Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa
🙏🏼🙏🏼🙏🏼Una akili sana we mwanamke.
Acha kutafta demu wewe hizo ni mbinu zako za kutafta wanawake humu tushasanuka, wanawake msidanganyikeKila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.
Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Ndio mana pesa zao Huwa hawatoiKila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.
Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
duh ama ngulumbili kweli shida,hivi kwa sasa kuna shida ya kupata wanawake mpaka nije kutafuta hapa,kwani mitaani hakuna? na nikikosa mitaani na exotictanzania hakuna?Acha kutafta demu wewe hizo ni mbinu zako za kutafta wanawake humu tushasanuka, wanawake msidanganyike
kiboboriMasikini, matango makubwa ila wanayapokea kwa kulazimishwa, wanaugulia maumivu pasipo msaada.
Ndiooo😀Mwanamke ananyimwaga unyumba mkuu..?
Kweliii🙂Mmmh wongo
Huo ni uwongo
Uwongo huooo huo ni uwongo
ila wa sikuizi ni katili na wana nyodo mbaya sana,Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.
Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Dunia inawqdanganya....Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.