Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

Dah, Wanawake wanateseka sana duniani

Sina uhakika na hilo sana ila kama mwanaume ukiishi vizuri na mkeo, mke anatakiwa kutangulia kufa na mwanaume achelewe. Hivi kama mwanamke ameumbwa kumtamani na kumtegemea mwanaume, iweje tegemeo afe alafu tegemezi aendele ku survive?
Sio kwamba kila Mwanaume hufa kabla ya mkewe,
Wapo ambao wake hutangulia,

Uhai wetu upo mikononi mwa Mungu.
 
Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.

Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.

Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
IPO HIVI WAO NDO WANAPENDA KUFANYIWA HIVYO, USIPO WAFANYIA HIVYO WANAONA HUWAPENDI WEWE NI BWEGE NA ANAKUUMIZA KISAWASAWA. SASA KAMWE USIMUONEE MWANAMKE HURUMA SHAURI YAKO WEWE TUMIA HISIA BADALA YA AKILI
 
Sio kwamba kila Mwanaume hufa kabla ya mkewe,
Wapo ambao wake hutangulia,

Uhai wetu upo mikononi mwa Mungu.
Jamii za kale za uyahudi na wasamaria ilikuwa kawaida mume kumzika mkewe. Hata Abraham alimzika Sara. Chunguza ndoa za hizo scenerio mbili utakuta utofauti mkubwa. Kati ya mwanaume na mwanamke nani aliumbwa kumtegemea mwingine? sasa iweje dependent bieng i exist pasipo independent bieng? me kufa mapema kuliko ke ni sababu ya kupuuza some natural laws.
 
Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.

Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.

Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Wanawake inabidi na nyie muwe na vifua vipana sio kila siku kulialia ty mnafikil wanaume hawana yanayowasibu...wanaume c ndo vichwa tunapitia mengi lakn tunakausha..koo kikubwa ni kujipambania bas 👊
 
Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Ni baya gan hapo juu ambalo mwanaume hatendewi dunia ya sasa??!!
 
Back
Top Bottom