Goofy_
Member
- Mar 7, 2024
- 79
- 253
Hukugundua hata kama aikudanganya?Kuna siku nilimuuliza Babu yangu kwanini wanaume wengi hufa mapema kuliko wanawake? akanijibu ni kwa sababu ya maovu wanayowatendea wanawake. Karma is a bitch!
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Hukugundua hata kama aikudanganya?Kuna siku nilimuuliza Babu yangu kwanini wanaume wengi hufa mapema kuliko wanawake? akanijibu ni kwa sababu ya maovu wanayowatendea wanawake. Karma is a bitch!
Sio kwamba kila Mwanaume hufa kabla ya mkewe,Sina uhakika na hilo sana ila kama mwanaume ukiishi vizuri na mkeo, mke anatakiwa kutangulia kufa na mwanaume achelewe. Hivi kama mwanamke ameumbwa kumtamani na kumtegemea mwanaume, iweje tegemeo afe alafu tegemezi aendele ku survive?
Soma post # 20.Hukugundua hata kama aikudanganya?
🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣🤣Yeah, na ndio maana nao wakipataga nafasi ya kutunyoosha wanatunyoosha kwelikweli.
IPO HIVI WAO NDO WANAPENDA KUFANYIWA HIVYO, USIPO WAFANYIA HIVYO WANAONA HUWAPENDI WEWE NI BWEGE NA ANAKUUMIZA KISAWASAWA. SASA KAMWE USIMUONEE MWANAMKE HURUMA SHAURI YAKO WEWE TUMIA HISIA BADALA YA AKILIKila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.
Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Kwa nini hakusubiri amuulize mume wakeHakumdharau bhana ila alikutana na ushawishi zaidi wa adam
Mkuu ukilegeza kamba kwa mkeo wahuni wakampandia dau humkuti,hasubiri kukuulizaKwa nini hakusubiri amuulize mume wake
Ndio walipie dharau zao kwa adamMkuu ukilegeza kamba kwa mkeo wahuni wakampandia dau humkuti,hasubiri kukuuliza
Sio kosa lao lakiniNdio walipie dharau zao kwa adam
Jamii za kale za uyahudi na wasamaria ilikuwa kawaida mume kumzika mkewe. Hata Abraham alimzika Sara. Chunguza ndoa za hizo scenerio mbili utakuta utofauti mkubwa. Kati ya mwanaume na mwanamke nani aliumbwa kumtegemea mwingine? sasa iweje dependent bieng i exist pasipo independent bieng? me kufa mapema kuliko ke ni sababu ya kupuuza some natural laws.Sio kwamba kila Mwanaume hufa kabla ya mkewe,
Wapo ambao wake hutangulia,
Uhai wetu upo mikononi mwa Mungu.
Ata sie sio kosa letu ni kosa la adam ila tunalipia makosa ya baba yetu adamSio kosa lao lakini
Wanawake inabidi na nyie muwe na vifua vipana sio kila siku kulialia ty mnafikil wanaume hawana yanayowasibu...wanaume c ndo vichwa tunapitia mengi lakn tunakausha..koo kikubwa ni kujipambania bas 👊Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Kuzalishwa na kutelekezwa, kupigwa na waume zao kila siku, kuteswa na waume zao na watoto wao kwa madhila ya kila namna, kufanyishwa kazi mchana kutwa na usiku kucha, kuitwa malaya, wezi, mashetani na kila sifa mbaya.
Oh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Hawa angempiga spana shetani wala hizi taabu za CCM zisingekuwepo leo😂Kumbuka kwamba kila kitu hupangwa na Mungu. It was planned.
Alilaaniwa pale bustanini laana ile haijafaOh Mola wangu wahurimie viumbe wako wanawake
Ni baya gan hapo juu ambalo mwanaume hatendewi dunia ya sasa??!!Kila baya unaloweza kulifikiri wewe, wanawake wanalipata, kupigwa, kubakwa, kuingiliwa kinyume cha maumbile, kudhulumiwa mali ya marehemu waume zao, kuombwa rushwa ya ngono wakiomba kazi au wanapokuwa na shida yoyote ile.
Tunaongozwa na Hawa ndio maana sijawahi kusikia Mwanamke anapiga azana Msikitini au Mwanamke kasimama Msikitini anatoa mawaidha au ananadi swala swalaaaaaHawa angempiga spana shetani wala hizi taabu za CCM zisingekuwepo leo😂