Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Dai mtazame Zari kwa jicho la 3

Wabongo mko shida sana...mna act kana kwamba Mwenyezi Mungu naye anafikiri na kutenda kama binaadamu.

Hakuna chochote Zari alichokosea.

Aliyekwambia kuwa kulia sana msibani ndio dalili kuu ya kuguswa na msiba ni nani? mnatekwa kirahisi sana na tabia za kinafiki na kudhani kuwa Mungu naye anadanganyika hivyo hivyo.

Hata aliyewahi kutamani kukuua siku moja anaweza akalia sana msibani na Watu wakadhani ameguswa kumbe ni ameumia kwa nini ameikosa hiyo chance.

Unapita uswahilini unakutana na Mtoto/Watoto wadogo wanacheza kwenye mfereji wa maji machafu...au wanacheza barabarani bila uangalizi mpaka unajiuliza kama hao Watoto wana Wazazi..sasa itokee Mtoto amefariki utamuona Mzazi anavyolia na kujigaragaza kama kichaa.
 
hahahhahaa,na kweli anazoa mautajiri kama ananawa
Diamond nae mjanja mjanja yule mtoto wa tandale south Africa geresha tu ila kipachupachu nacho kinawapa faida sana dada zetu ona zari anavyozoa mautajiri kiulaiiiiiniiii bila kukuru kakara
 
Binadamu hatuna jema. Mtu unakua unajua maisha ya mwingine kuliko ata yakwako mwenyewe.
Mtoa post hujawahi ona msiba mtu kafiwa na mumewe halii yuko busy na kucheka tu lakini anaumia moyoni?? Vp yale makabila mtu akifa wanapiga vigelegele.

Mumpage break dada wa watu mengi ni wivu tu
 
Mkuu we noma yaani nimecheka sana.

lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
ulichokisema nisawa na mwanadada Taraji alivyowahi kumcha Drake alivyojaribu kum seduce akamwambie hawezi toka nae maana anamuona kama age mate wa mwanae,so same as kwa wadada wakubwa wanao penda kudate na young ages akishakuwa na watoto wakiume age umri unaoshabihiana na boyfriend huwa inawapa tabu sana na single mother wenye watoto wakiume huwanivigumu sana kutengeneza mahusiano mapya sababu sometimes wanajiona wako secured sana kuwa na mtoto wakiume mapenzi yake yote yanakuwa pale but kwa zari ni tofauti,i think boys wanamwita bwana dai uncle sio daddy
 
Kipindi hiko freemason wamemchukua domo, sipati picha wakina esma na mama yake watavyokuwa anagombania mali [emoji23][emoji23] mganda anakomaa watoto wake warithi mali za baba yao mapemaaa
 
Hakuna tatizo , kupisti picha sio tatizo kwani yeye ndio moja ya kazi zake.
Hilo halihusiani na uwanawake wa kiafrika, hio ni kazi yake ku socialize ndio kuna muingizia hela kupata matangazo.
Kuhusu mali za Ivan ana haki kwani hata wakati yupo zari alikua aki run baadhi ya biashara hizo na school kama director
Pia ana haki kwani watoto wake wana haki ya mali ya baba yao.
Ingawa baba yao alikua na hela lakini alikua mfujaji mkubwa hivyo ana jukumu la kuhakikisha urathi wao unatumika vizuri...she is there kwa watoto wake....period.
Kuhusu dai ...nadhani wao wapo zaidi kibiashara japo kuna ma love love lakini sija sikia kama dai ame muoa huyu mwanamke ..ni mtu na demu wake na wamezaa kazini.
Ama kuhusu zari kuruka kwa mwengine inategemea experience alopata kwa wanaume zake wawili...alokaa nao.
Inasemekana juu ya kuwa na mali na kumpa fedha nyingi lakini walikua wahuni na walevi kupindukia na wakimchapa sawa sawa.
Amekuja kwa dai ameonja mapenzi na kupendwa kama mwanamke na kuheshimiwa na dai...
Hivyo kwa umri wake na alivo intelligent sasa ni rasmi dsi atafunga nae ndoa baada ya ivan kufariki...kwani kule hakuachwa
 
Ungekuwa ulaya wew haya yote usingeongea...ulaya mama na mtoto wanaoga pamoja na mtoto wa kiume anashika tako la mama yake...na kwakuongezea tuu ulaya mama anaweza kuwa analiwa papuchi na mtoto akawa anaona...sasa cjajua wabongo tunamatatizo gani
 
Habari zenu wana jamvi...

Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.

Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu zifuatazo...
Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado mdogo sana?


Mchana mwema wapendwa
Kwa unauakika kama Huyo mtoto mdogo ni wa Daimond??
 
Jitathmini hata kama ungekuwa we we ungeenda msibani?.
Kwa desturi zetu na kama marehemu aliachana na mkewe kiuhalali unastahili kwenda kwa kuwa wale watoto tayari nawe wanakuita baba. Kwa ufupi Daimondi ni baba wa kambo wa watoto wa Ivan. Lakini kama ni mvamizi kwenye familia ya watu hauwezi kwenda. Na hicho ndicho kinachoonekana, labda kwa kuwa wenyewe wana fungate la siri. Na hiyo siri muda sio mrefu itaanza kudhihiri.
Manake ukiangalia nafasi ya Daimondi pamoja na makeke yake haikuonekana kabisa kwenye huu msiba na yanayojionyesha Zari bado alikuwa mke wa Ivan! Ivan na Zari walifunga ndoa. Ila sijasikiandoa ya Zari na Daimond. Na ukumbuke hakuna ndoa ya mke mmoja wanaume wawili.
 
Habari zenu wana jamvi...

Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.

Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu zifuatazo...

1) Amefiwa na mtu aliyeishi naye pika pakua kwa zaidi ya miaka 10 lakini alikuwa na nguvu ya kupost picha mtandaoni(Siyo moja)na captions juu wakati bado mazishi hayajafanyika

2) Jana kwenye kipindi cha Amplifier alihojiwa na Millard na alikuwa anaonge kwa kujiamini na sauti yake haikusikika kuwa na majonzi hata kidogo(Note:Angekuwa mwanamke mwingine angekuwa bado yuko down sana na pengine angeshindwa hata kuongea kwenye Interview)

3) Ni opportunist Mzuri sana,Kama aliweza kuzaa na Ivan watoto watatu na akapata ujasiri wa kumuacha na kwenda kwa wanaume wengine,,basi hata Dai anaweza kukuacha vile vile(Anachojua yeye ni kuwa once yo dating a rich guy,future yako na watotot wako ni ya uhakika)Mfano halisi ni sasa,aliitwa Zari the boss lady sababu ya jeuri ya fedha za Ivan,now ataitwa Zari the Don sababu ya jeuri ya fedha za Ivan pia

4) Siamini ndani ya moyo wangu kama Zari alimpenda Diamond kama Diamond,naamini ile fame ya Dai ndo iliyomvuta yeye kuwa na Dai(Na kwa hili amefariki,kwa sasa Zari ni moja ya wanawake maarufu sana Africa)So Dai watch out you never know siku fame ikiisha,je atastick up na wewe au atamove on huku akiendelea kupata child support?Ukitaka kuprove hili,jiulize ni kwa nini kipindi kile mna mgogoro mpaka mama Dai akampost Wema(Japo Maza alifanya uswahili kwa hili) Hujiulizi ni kwa nini Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado mdogo sana?

5) Katika malezi nimeona ana mazuri yake kama vile kuwafundisha watotot wake kujitegemea wakiwa bado wadogo lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.

Namalizia kwa kusema hivi,Japo Zari ana roho ngumu lakini ana mazuri yake pia,Huyu mwanamke ni msafi,unaweza ukathibitisha hili kuptia picha zake,Sebule yake ni safii,Wardrobe yake poa kabisaa lakini hata yeye anajipenda sana jao she's acting like an 18 girl wakati ni mama mtu mzima anayepaswa kukaa akibehave ili wanae wajifunze kutoka kwake.

Mchana mwema wapendwa
Pole sana. Umesema ukweli na ukweli ni mchungu. Ukumbuke kuna watu huwa hawapendi mtu wanayemhusudu anapoambiwa ukweli.
 
Back
Top Bottom