Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Jitathmini hata kama ungekuwa we we ungeenda msibani?.Daimondi anamengi ya kuangalia na kujifunza baada ya hili kutokea. Hata mazishini hakwenda na pengine anahofu kubwa ambayo hapendi kuiweka hadharani. Ajitathimini.
Diamond nae mjanja mjanja yule mtoto wa tandale south Africa geresha tu ila kipachupachu nacho kinawapa faida sana dada zetu ona zari anavyozoa mautajiri kiulaiiiiiniiii bila kukuru kakara
ulichokisema nisawa na mwanadada Taraji alivyowahi kumcha Drake alivyojaribu kum seduce akamwambie hawezi toka nae maana anamuona kama age mate wa mwanae,so same as kwa wadada wakubwa wanao penda kudate na young ages akishakuwa na watoto wakiume age umri unaoshabihiana na boyfriend huwa inawapa tabu sana na single mother wenye watoto wakiume huwanivigumu sana kutengeneza mahusiano mapya sababu sometimes wanajiona wako secured sana kuwa na mtoto wakiume mapenzi yake yote yanakuwa pale but kwa zari ni tofauti,i think boys wanamwita bwana dai uncle sio daddyMkuu we noma yaani nimecheka sana.
lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Kwa unauakika kama Huyo mtoto mdogo ni wa Daimond??Habari zenu wana jamvi...
Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.
Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu zifuatazo...
Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado mdogo sana?
Mchana mwema wapendwa
Kwa desturi zetu na kama marehemu aliachana na mkewe kiuhalali unastahili kwenda kwa kuwa wale watoto tayari nawe wanakuita baba. Kwa ufupi Daimondi ni baba wa kambo wa watoto wa Ivan. Lakini kama ni mvamizi kwenye familia ya watu hauwezi kwenda. Na hicho ndicho kinachoonekana, labda kwa kuwa wenyewe wana fungate la siri. Na hiyo siri muda sio mrefu itaanza kudhihiri.Jitathmini hata kama ungekuwa we we ungeenda msibani?.
Pole sana. Umesema ukweli na ukweli ni mchungu. Ukumbuke kuna watu huwa hawapendi mtu wanayemhusudu anapoambiwa ukweli.Habari zenu wana jamvi...
Kabla ya kuanza kueleza ni kwa nini nimeamua kuandika uzi huu,natoa angalizo(Sina team so tusitukanane)Hoja hujibiwa kwa hoja.
Niende direct kwenye mada,Binafsi nieona watu wakimsifia Zari na kumuita mwanamke Shujaa ama shupavu,lakini nimekuja kugundua kuwa mwanamke wa kweli hapaswi kuwa na haiba kama ya Zari.Nasema hivi kwa sababu zifuatazo...
1) Amefiwa na mtu aliyeishi naye pika pakua kwa zaidi ya miaka 10 lakini alikuwa na nguvu ya kupost picha mtandaoni(Siyo moja)na captions juu wakati bado mazishi hayajafanyika
2) Jana kwenye kipindi cha Amplifier alihojiwa na Millard na alikuwa anaonge kwa kujiamini na sauti yake haikusikika kuwa na majonzi hata kidogo(Note:Angekuwa mwanamke mwingine angekuwa bado yuko down sana na pengine angeshindwa hata kuongea kwenye Interview)
3) Ni opportunist Mzuri sana,Kama aliweza kuzaa na Ivan watoto watatu na akapata ujasiri wa kumuacha na kwenda kwa wanaume wengine,,basi hata Dai anaweza kukuacha vile vile(Anachojua yeye ni kuwa once yo dating a rich guy,future yako na watotot wako ni ya uhakika)Mfano halisi ni sasa,aliitwa Zari the boss lady sababu ya jeuri ya fedha za Ivan,now ataitwa Zari the Don sababu ya jeuri ya fedha za Ivan pia
4) Siamini ndani ya moyo wangu kama Zari alimpenda Diamond kama Diamond,naamini ile fame ya Dai ndo iliyomvuta yeye kuwa na Dai(Na kwa hili amefariki,kwa sasa Zari ni moja ya wanawake maarufu sana Africa)So Dai watch out you never know siku fame ikiisha,je atastick up na wewe au atamove on huku akiendelea kupata child support?Ukitaka kuprove hili,jiulize ni kwa nini kipindi kile mna mgogoro mpaka mama Dai akampost Wema(Japo Maza alifanya uswahili kwa hili) Hujiulizi ni kwa nini Zari alikimbilia kushika mimba nyingine wakati Tifa alikuwa bado mdogo sana?
5) Katika malezi nimeona ana mazuri yake kama vile kuwafundisha watotot wake kujitegemea wakiwa bado wadogo lakini nimegundua pia siyo mama mzuri pia,Mama anayejisheshimu hasa wa KIAFRIKA hawezi kupiga picha anakulana denda au kashikwa ta*k*o kisha akapost mtandaoni wakati watoto wake n wakubwa,na kibay zaidi anayemshika hivyosiyo baba yao na ni mtu ambayee hawezi kuwa baba yao hata katika maisha halisi zaidi kuwa kaka yao.
Namalizia kwa kusema hivi,Japo Zari ana roho ngumu lakini ana mazuri yake pia,Huyu mwanamke ni msafi,unaweza ukathibitisha hili kuptia picha zake,Sebule yake ni safii,Wardrobe yake poa kabisaa lakini hata yeye anajipenda sana jao she's acting like an 18 girl wakati ni mama mtu mzima anayepaswa kukaa akibehave ili wanae wajifunze kutoka kwake.
Mchana mwema wapendwa