Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Miss you too mkwe. Tupangeni jamani tuonane. Jumapili Kama vipiMiss u mkweee
Mjini kula kwa zamu kutesa kwa awamuUmeona eehh!!kutoka uswazi mpk ushuaniii...
Muda wake umefika sasa...wa kula maisha!!!
Sina timu kaka...mimi nawapenda wanawake wote wasio na dharau...Mtoa mada wewe kama team Mobetto mmeamuaje?
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umbea kitambo tu tunaenda makosenti ya bure pale leaders,daimond jubilee kama hujawahi wanazomewa...enzi za east coast na tmk achaaaaa!!!!Hakika CV yako ya umbea imesheheni experience ya miaka mingi sana kwenye hiyo fani ya umbea, kama ni job interview ungeitwa kwenye shortlist.
Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...
Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano na Irene mtoto wa buguruni...na Mara kwa Mara wanakua pamoja km bebi wake mpyaa!!!
Jana ulikua bday yake bidada naona kapewa zawadi ya Volkswagen 2017 na mpenzi wake mpya yasemekana ni diamond platnumz...!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bidada mwenyewe anaongea kwa kujiamini akiulizwa kuhusu daimond[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!
Yaani wanawake sie kwenye pesa jamani sijui tunakuwaje maana nakumbuka hao wote walipoita kwa dai yaliwakuta lakini waling'ang'ana mwisho wakasanda Leo haka kajukuu nako kanaingia kwa kujiamini masikini wee...!!
Yaani na alivyo na mama mnafiki sasa hivi mahaba km yote kwa officiallyn..mpk bday kamuwish...
Tabu wanapata mashabiki wa mahawara wa daimond sasa wenye timu zao maana sasa hivi watajikuta wanatukana kila mdada...ila wangejua siku moja wangekataa utumwa wakarudisha kibao kwa mondi waungane wamtukane wote...ila kwa kua wanawake tuna asili ya kuchukiana sisi kwa sisi tabu atapata Irene sasa mpk ajuteee...
Na yeye atakuua maarufu sasa hivi!!!
Mjini sihami ng'ooo...sikuja kwa mbio za mwenge...umbea siachi maana nimeanza kufatilia toka gazeti la Kiu wanashirikiana Shigongo na tamba mpk Kiu ikazaa ijumaa,uwazi na mengine!!
Nimetoka nao mbali...mtanisamehe jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]