Daimond amzawadia gari bebi wake mpya...

Daimond amzawadia gari bebi wake mpya...

[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umbea kitambo tu tunaenda makosenti ya bure pale leaders,daimond jubilee kama hujawahi wanazomewa...enzi za east coast na tmk achaaaaa!!!!
daaahhh " shikamoo " binamu na wewe utakuwa mbibi " maana enzi ya east cost kuzomewa " saba saba " sio issue ya jana hiyo ni 2004 .....duuhh kweli wewe umbea kitambo
 
Mleta mada ile VW Toureg sio ya 2017, bali registration number yake kw Tanzania ni ya 2018 maana ni T xxx DNU model ile ni ya muda mrefu waweza kuta ni ya 2004-2009 kama sijakosea
 
Ila huyu si ndo video yake fulani ilitembea mitandaoni akisema kwamba watu wanadai anadanga ila yeye hajali maana anapata vitu ambavyo watu hawawezi kuvipata
 
daaahhh " shikamoo " binamu na wewe utakuwa mbibi " maana enzi ya east cost kuzomewa " saba saba " sio issue ya jana hiyo ni 2004 .....duuhh kweli wewe umbea kitambo
Tulikua wote basi pale sabsaba[emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]Niko for four kipindi hikooo....walirushiwa makopo sisahauuu...alivyopanda bluu hali ikatulia akaingia kwa gea ya "Tmk ,TMK...!!!mmama Mimi bwana !!wala sijifanyi katoto
 
Jamani hilo Gari Hajaongwa na domo , Irene Ana danga lake Lina pesa chafuu, na bibie anaishi maisha expensive sana domo mbahili hawez mpka hayo maisha

Kumbeee!!binamu fanya urudi
 
napenda tuu kuwaambia Tanzania msanii anaejulikana karibia kila nchi ya Africa na mabara mengine kutoka kwetu ni diamond wengine naimani wataendelea kujitangaza zaidii nilishakutana na watu mpaka wa mabara mengine ukimtaja diamond wanamjua ila najatibu kuwapaiza na wengine naambiwa noo [emoji852][emoji852][emoji852]
 
Back
Top Bottom