Sakasaka Mao
JF-Expert Member
- Sep 29, 2016
- 12,826
- 17,371
Me nilidhania ni Irene halisi mwenye kumiliki jina.Daah.. Ana haki kwa kuhonga hiyo gari.. Mwache mtoto wa kike apate fame na yeye🙂🙂
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Me nilidhania ni Irene halisi mwenye kumiliki jina.Daah.. Ana haki kwa kuhonga hiyo gari.. Mwache mtoto wa kike apate fame na yeye🙂🙂
Aisee ni chombo mond anafata nyayo zangu kabisa za kutafuna watoto wakali[emoji23][emoji23]
hahaaa kwahiyo sisi sote ni wazee""?? .... ila mwaka huo mimi nilikuwa darasa la sita ...wallahiTulikua wote basi pale sabsaba[emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]Niko for four kipindi hikooo....walirushiwa makopo sisahauuu...alivyopanda bluu hali ikatulia akaingia kwa gea ya "Tmk ,TMK...!!!mmama Mimi bwana !!wala sijifanyi katoto
Tuwashukuru wazungu kwa kutuletea kemera nzuri, na vipodozi
Unaanzaje kumwacha mtoto kama huyu sasa...had mate yamejaa mdomon,daah,..mtoto kama huyu unapiga deki kwanza halaf mengne badae
Tell them"A Woman is for one Man but A Man is for many Women"
Always against Chibu....🙇Hata kama but not to that extent...aoe kuzini sio sifa etii[
Kweli ww unajua khabari!Jamani hilo Gari Hajaongwa na domo , Irene Ana danga lake Lina pesa chafuu, na bibie anaishi maisha expensive sana domo mbahili hawez mpka hayo maisha
Tunaomba upendeleo mmoja!Sina timu kaka...mimi nawapenda wanawake wote wasio na dharau...
Halafu siwezi mchukia Irene kwa kua sijamzaa...namuacha ale maisha its her time....!!!
Kwa binti kama Irene kua na daimond anastahiki maana yuko single kumtukana Irene ni uzwazwa tu
Mkuu acha kututia aibu basi, Courvoisier siyo Whisky na haijawahi kuwa Whisky. Hii pombe ni "Cognc" ni high quality brandy na siyo whisky. Kuna tofauti kubwa sana kati ya whisky na brandy. Na hizi Courvoisier zipo za aina nyingi sana kutegemea na ubora wake.Njoo geto leo nina courvoisier whisky nimelifata mwenye MMI nishalianza lakini. Atakayejichanganya leo nitaua
Website yako inaitwaje?Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...
Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano na Irene mtoto wa buguruni...na Mara kwa Mara wanakua pamoja km bebi wake mpyaa!!!
Jana ulikua bday yake bidada naona kapewa zawadi ya Volkswagen 2017 na mpenzi wake mpya yasemekana ni diamond platnumz...!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bidada mwenyewe anaongea kwa kujiamini akiulizwa kuhusu daimond[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!
Yaani wanawake sie kwenye pesa jamani sijui tunakuwaje maana nakumbuka hao wote walipoita kwa dai yaliwakuta lakini waling'ang'ana mwisho wakasanda Leo haka kajukuu nako kanaingia kwa kujiamini masikini wee...!!
Yaani na alivyo na mama mnafiki sasa hivi mahaba km yote kwa officiallyn..mpk bday kamuwish...
Tabu wanapata mashabiki wa mahawara wa daimond sasa wenye timu zao maana sasa hivi watajikuta wanatukana kila mdada...ila wangejua siku moja wangekataa utumwa wakarudisha kibao kwa mondi waungane wamtukane wote...ila kwa kua wanawake tuna asili ya kuchukiana sisi kwa sisi tabu atapata Irene sasa mpk ajuteee...
Na yeye atakuua maarufu sasa hivi!!!
Mjini sihami ng'ooo...sikuja kwa mbio za mwenge...umbea siachi maana nimeanza kufatilia toka gazeti la Kiu wanashirikiana Shigongo na tamba mpk Kiu ikazaa ijumaa,uwazi na mengine!!
Nimetoka nao mbali...mtanisamehe jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Sijaelewa dear
Nikurekebishe kidogo ti, Uwazi ndio Gazeti la kwanza la Shigongo kisha hayo mengine yanafata...Huyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...