Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahahaSasa hapa videmu vyetu vikiona navyo vinataka gari[emoji1] [emoji1]
Nimejikuta nacheka mwenyewe shoga angu @ Raynavero[emoji2] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]
Mwanzo nilikuwa najua wewe ni wa kiume sorry mkuu kwa kukufikiria ndivyo sivyoHata kama but not to that extent...aoe kuzini sio sifa etii
Hahahaa kwahiyo mashabki wamekuwa bendera kufata upepoHuyu kaka hapana aiseehh!!naona kwa sasa anajaribu kumpaisha Irene aka officiallyn ili aje kulingana na wanawake waliopita kwake na mama watoto zake...
Siku za hivi karibuni amekua na mahusiano na Irene mtoto wa buguruni...na Mara kwa Mara wanakua pamoja km bebi wake mpyaa!!!
Jana ulikua bday yake bidada naona kapewa zawadi ya Volkswagen 2017 na mpenzi wake mpya yasemekana ni diamond platnumz...!!![emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Bidada mwenyewe anaongea kwa kujiamini akiulizwa kuhusu daimond[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] !!
Yaani wanawake sie kwenye pesa jamani sijui tunakuwaje maana nakumbuka hao wote walipoita kwa dai yaliwakuta lakini waling'ang'ana mwisho wakasanda Leo haka kajukuu nako kanaingia kwa kujiamini masikini wee...!!
Yaani na alivyo na mama mnafiki sasa hivi mahaba km yote kwa officiallyn..mpk bday kamuwish...
Tabu wanapata mashabiki wa mahawara wa daimond sasa wenye timu zao maana sasa hivi watajikuta wanatukana kila mdada...ila wangejua siku moja wangekataa utumwa wakarudisha kibao kwa mondi waungane wamtukane wote...ila kwa kua wanawake tuna asili ya kuchukiana sisi kwa sisi tabu atapata Irene sasa mpk ajuteee...
Na yeye atakuua maarufu sasa hivi!!!
Mjini sihami ng'ooo...sikuja kwa mbio za mwenge...umbea siachi maana nimeanza kufatilia toka gazeti la Kiu wanashirikiana Shigongo na tamba mpk Kiu ikazaa ijumaa,uwazi na mengine!!
Nimetoka nao mbali...mtanisamehe jamani[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
Ban kisa kapicha hajaweka umbea haunogi au sio[emoji23][emoji23][emoji23]Hata kapicha?
Ukipigwa ban utasema unaonewa?
Weeeeeeeee hadith za shigongo ukisoma picha huwa zinakuja zenyewe kichwani tu unakuwa kama unaangalia movie flan hiviUzi huu bila picha ni sawa na kusoma hadithi za shigongo .
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]Aisee ni chombo mond anafata nyayo zangu kabisa za kutafuna watoto wakali[emoji23][emoji23]
Mhhhh huyu mtto mbona kama nahisi kumuiba