Daimond amzawadia gari bebi wake mpya...

Sasa gari ahongwe mwingine kuumia uumie wewe si uzwazwa huu


Embu pambana na hali yako.
[emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23] [emoji23]

Sawa kaka!!!
 
Halafu hilo suala la Irene halina ukweli wowote kama vitu hamjui muwe mnauliza kwanza kuliko kusambaza taarifa za uongo.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2]
 
Mtoa mada wewe kama team Mobetto mmeamuaje?
Sina timu kaka...mimi nawapenda wanawake wote wasio na dharau...

Halafu siwezi mchukia Irene kwa kua sijamzaa...namuacha ale maisha its her time....!!!

Kwa binti kama Irene kua na daimond anastahiki maana yuko single kumtukana Irene ni uzwazwa tu
 
Hakika CV yako ya umbea imesheheni experience ya miaka mingi sana kwenye hiyo fani ya umbea, kama ni job interview ungeitwa kwenye shortlist.
[emoji2] [emoji2] [emoji2] [emoji2] umbea kitambo tu tunaenda makosenti ya bure pale leaders,daimond jubilee kama hujawahi wanazomewa...enzi za east coast na tmk achaaaaa!!!!
 
Nani kakwambia Iren kafuata pesa?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…