Daimond amzawadia gari bebi wake mpya...

Tulikua wote basi pale sabsaba[emoji3][emoji23][emoji16][emoji16]Niko for four kipindi hikooo....walirushiwa makopo sisahauuu...alivyopanda bluu hali ikatulia akaingia kwa gea ya "Tmk ,TMK...!!!mmama Mimi bwana !!wala sijifanyi katoto
hahaaa kwahiyo sisi sote ni wazee""?? .... ila mwaka huo mimi nilikuwa darasa la sita ...wallahi
 
Mleta mada wewe ni jinsia gani? Najaribu kuangalia hiyo suruali ya kike uliyovaa na jinsia yako ni kama vile haviendani!
 
Irene huwa ni vicheche sana.
 
Sina timu kaka...mimi nawapenda wanawake wote wasio na dharau...

Halafu siwezi mchukia Irene kwa kua sijamzaa...namuacha ale maisha its her time....!!!

Kwa binti kama Irene kua na daimond anastahiki maana yuko single kumtukana Irene ni uzwazwa tu
Tunaomba upendeleo mmoja!
Tohoa maana ya "Zwazwa"
 
Njoo geto leo nina courvoisier whisky nimelifata mwenye MMI nishalianza lakini. Atakayejichanganya leo nitaua
Mkuu acha kututia aibu basi, Courvoisier siyo Whisky na haijawahi kuwa Whisky. Hii pombe ni "Cognc" ni high quality brandy na siyo whisky. Kuna tofauti kubwa sana kati ya whisky na brandy. Na hizi Courvoisier zipo za aina nyingi sana kutegemea na ubora wake.

Pichani ni aina mojawapo ya Courvoisier na inaitwa "Cognac" V.S. Pombe hizi zinatengenezwa kwa kumia "zabibu" tofauti kabisa na Whisky zinazotengenezwa kwa kutumia "nafaka".
 
Website yako inaitwaje?
Am curious to know and learn this stuff..
 
Nikurekebishe kidogo ti, Uwazi ndio Gazeti la kwanza la Shigongo kisha hayo mengine yanafata...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…