Dakika 30 baada ya kuzikwa

Dakika 30 baada ya kuzikwa

Hapo wameshanitelekeza peke yangu huko mbali.
 
Ndo uhalisia[emoji26]
JamiiForums-1175306667.jpg
 
Ulitaka wakisha kuzika wafanyaje? Na wao wajizike?
Kawaida mtu unaweza ukawa na mawazo kwamba ikitolewa ofa ya kwamba wewe ufe halafu ulimwengu mzima ubaki salama bila tatizo lolote, matatizo yote yakome kabisa ulimwenguni; unatakiwa uone ni bonge la ofa ambalo halipo mahala pengine popote pale duniani; kwamba ni ofa ambayo unaweza ukaikubali pasipo kufikiria wala kusita.
Lakini on the contrary, inaonyesha kama kuna watu ambao huwa wanatamanii kuwa siku wao wakifa, na watu wengine wote ndiyo iwe siku yao ya mwisho hapa duniani. Yaani yeye siku anakufa, asibaki mtu mwingine yeyote nyuma yake; watu wote wafe siku hiyo. ndiyo kitu ambacho baadhi huwa wanatamani kitokee!
 
Back
Top Bottom