Dakika 30 za kifo cha rais John F Kennedy.

[emoji3][emoji3] crazy nipo zangu kule kwangu wacha nikuache huku...au nishike mkono twende wote usije ukapigwa humu maana nitauua mutu
Haya twende haraka
 
Bro hili bandiko mbona kama umelikopi na kulipest? Unakopije kazi ya mtu tena wa humu humu na kuja kulifanya lako? Huu si wizi?

Kwa taarifa yako hili ni chapisho la The Bold, wewe umefanya kuiba

Shwain wahed
 
Kucopy amefanya kosa kisheria, kama ingekuwa nchi za wenzetu jamaa angeweza hata kushtakiwa. Hakufanya poa.
Jamaa punguani sana, tena naomba kama ikiwezekana MODS wampige ban ya maisha. Inasikitisha sana mtu amejipinda kuandika afu anatokea wahedi mmoja anakopi jinsi lilivyo na kujifanya lake!

Nimemmind sana huyu shetani

Amekopi kama lilivyo kutoka kwa kamanda wetu The Bold.
 
Mkuu, jifunze matumizi sahihi ya JF, ku-quote uzi mrefu in kero kwa watumiaji was simu.
Namimi nilikuwa nataka nimjibu kuwa anakera kuquote uzi mrefu badala ya kureply tu
 
Mdau naomba link nimsome the bold moja kwa moja au niunganishe
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…