Dakika chache kabla ndege haijaanguka unadhani abiria huwa katika hali gani?

hahaha.Bro kufa ni rahisi sana.basi tu sisi tuna kiburi sijui cha nini
 
Ok.

baada ya kutushushua hivyo ungeendelea kutwambia huwa inakuwaje kwa upande wa ndege na mtu anaweza kujiokoaje.
 
Siyo kufiliria, unaona ushakufa maana hawajui kufa unakuwaje... lila hali unadhani ndo ushafariki

Ndege iliharibika tukiwa angani. Tukatua Mwanza kwa dharula
Kwanini hamkuomba parashuti?
 
Nikikuwa natoka Joburg Oliva Tambo International Airport kulelekea mji mmoja wa Manzini, Swaziland pale kuna mwendo kama wa saa moja hv....
nakumbuka nilipanda ndege ya wastani mithili ya hizi za precision air lkn yenyewe ilikuwa ndogo kidogo, basi baada ya kama DK 30 kuruka...
tulikutana na upepo mkali balaa kitu kilitetemeka kikayumba kikaanza kwenda chini kwa speed...
pembeni yangu alikaa mzungu flani hivi anasoma novo nikamkata jicho nicheki reaction yake manake nilikuwa najisemea hawa rangi nyeupe wamezoea ndege.....
ile namcheki nikakuta kafunga novo yake amebana mikono kifuani kafumba macho,nikasema lelo ni leo kucheki abiria wengine nao nikaona wanaweweseka, jasho likanitoka paa mpaka kwenye pu.mbu baada kama dk7 hali ikatuli ndege ikarudi juu zaidi baadae tukataambiwa zilikuwa ni turbulence.....
nilitamani ndege itue nishuke fasta....
 
Kwani na wewe umefanya plastic surgery?
 
Wanakua katika mood ya WTF😏😏
 
KUNA SIKU TUNATAKA KUTUA JFK USIKU KIPINDI KILE CHA FAST JET PILOT KESHATOA MATAIRI NYUMBA TUNAZIONA HIZ HAPA SASA BWANA SIJUI KULIKUWA KUNA SHIDA GAN CHINI ILE TUNASHUKA TU PILOT AKAIRUDISHA NDEGE KWA KASI YA AJABU JUU TUKAANZA KURUDI JUU KWA KASI YAAN SIKU NDEGE NZIMA KELELE SASA ZIKAANZA MI MOYO UNADUNDA MAPAKA NAUSKIA KWENYE MGONGO NIMESHIKLIA SITI YA MBELE KWA NGUVU ZOTENIKASEMA YAAN HATA KAM NINGEOKOTWA MAFUVU YAMESHIKLIA SITI KUNA MNYAKI ALIKAA PEMBEN YANGU HAPA NASKIA TU OBABAAA FIJOFIJO KUNA MAMA ALIKAA SITI TOFAUTINA MUMEWE ANAPIGA KELELE JINA LA MUMEWE DINGI NIKASKIA ANAMJIBU WE MWANAMKE HEMBU KAA CHINI TULIA YAA ILIKUWA KIMWEU MWEU
 
Mara paap rubani kafanikiwa kuidhibiti ndege baada ya hatua namba nane sipati picha harufu ya uvundo humo ndani ya kebini.
[emoji86][emoji86][emoji86][emoji86][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38][emoji38] we jamaa mpuuuzi kweli! Mbaya zaidi km kuna mtu aliyekula Makande na maharage weeeeh!
 
Nina wawili mpwa, we acha tu.

Aisee,kumbe ndo inavokuwa maana ilikuwa balaa tupu.
Hahahhaha...haya mpwa, nimekuelewa
 
Sisi watumiaji nguli wa Abood Bus Service, Saibaba na Kilimanjaro Express tunaruhusiwa tucomment ?
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…