lets go.......
Tulipofika home toka kwa Mercy tulifikia kwa huyo bro, nilimshukuru san kwasabb kwa kiasi flan niliona kama vita imeisha na dokta hatomtafuta tena mercy.
Baada kama ya dk 20 niliingia mageton kwangu na tayr ilikuwa ishafika time ya msos wa mchana. Nikawaza kwenda kuoga then nimchek mercy niende kwake kwa ajili ya msos. Nilimchek akasema ashaanza kupika.
Nilipitia gengeni nikabeba matunda nikapiga pedeli mpka kwa Mercy. Nilikuta anamalizia ugali basi tukagonga msos huku tunapiga stors za hapa na pale mpka tukamaliza. Siku ile kweli nilimramba Mercy na kama kawaida tulienjoy show.
Tulipomaliza kugegedana alienda kuoga namimi nikafuata maana kulikuwa na baadhi ya nguo zangu kwake.
Alipoenda kuoga cm aliiacha na Mercy pattern zake nilikuwa nazjua kwahiyo nilivaa ujasiri nikaanza kuipekua cm yake.
Sikukuta call yyte au mesej kutoka kwa Dokta wala shenzi yyte yule na of course Mercy hakuwa na mambo mengi alikuwa Binti mstaarabu sana na hii ndo ilinivutia pia kwake.
Tulipomaliza kuoga tuliamua kutoka kwenda chuo kufanya individual assignment ya somo la sociology.
Tulitoka chuo saa moja kasoro jioni.
Tukapita gengeni kuchukua matunda na vitu vilivyomiss ili tukaandae msos wa jioni.
Sasa ndugu zangu, tangu nimeanza kuwa na Mercy first year nilikuwa najitahid sana kuficha texts na calls za ma ex zangu washenzi nilikuwa naona kama wangeniharibia kwa Mercy wangu.
Ndugu zangu wakati tunachukua chukua mazaga cm yangu nilimpa Mercy anishikie wakati natoa wallet nichukue pesa cha kulipia pale.
La haulah! Text ikaingia la dem flan nilimuacha home anaitwa Tecra (hii ni real name)
Text ilisomeka "Toka uingie chuo basi ushanisahau lakini tambua mimi ndo mke wako hao wamenishikia tu kwa muda"
Mercy sio mtu wa short temper yani so wa mavurugu vurugu hovyo alinambia "kuna text imeingia hapa isome tu lakini tutayazungumza tukifika home"
Nilichukuwa cm kwa shauku kukuta text ya Tecra nikajisemea moyoni kwamba hapa tayar nishapata doa kwa Mercy na uaminifu wake kwangu utapungua.
Tulipofika home nikajiwahi kujishughulisha kwenye kupika lakini Mercy alinikumbusha kuhusu Ile txt akauliza Tecra ni mke wako?
Nikamjibu hapana ngoja nipike kwanza tule tutaongea.
Ghafla cm ya Mercy ikaingia kupokea ni Dokta, nilikuwa napika lakini nikaamua kusogea karibu na Mercy kusikia vizur upuuzi wa msela na Mercy alikuwa kaweka loud speaker.
Kiukweli Dokta alikuwa na hela lakini alikosa swaga tu na ndo kilichokuwa kinamcheleweaha.
Dokta aliuliza Mercy anaendeleaje na wakati Mercy àlikuwa kashapona kitambo kiasi kwamba ni ushamba mtu kuendelea kuuliza hali yake baada ya kutolewa jino. Nikaona kabisa huyu Dokta anamtaka sawa Mercy lakini swaga kakosa. Alipiga porojo zake pale lakini hakumgusia kuhusu swala la mimi na bro kumfata na kumpiga bit. Hapa nilimuona gentleman kidizain.
Dokta hakuwa na swaga basi akakata cm.
Nikaendelea na kupika nikamaliza tukala. Baada ya kumaliza kula nikaanza kuleta uchokozi ili nimle na asahau kabisa maswala ya Tecra.
Mercy alistukia akanipiga marufuku kwa herufi kubwa. Alisisitiza juu ya Tecra nikamuelekeza kwa mapana na marefu na kwa kiasi alinielewa. Lakini niliona kunakawasiwasi bado anako moyoni.
Nilifanya ujinga wa kumpiga Tecra nikamchana live mbele ya Mercy kwamba asinisumbue tayar nina mwingine na tunapendana. Nahisi huu ni upuuzi na sitakuja kurudia labda nikiwa nimeoa.
Basi tukasov pale yakaisha nikarud home kwangu.
Kumbuka hapo nilikuwa bado nipo katika changamoto ya kiuchumi. Nilikuja kufurahi nilipoambiwa Maza karud home hapo nikaona kabisa mambo yamegeuka na wa mwisho Sasa atakuwa wa kwanza.
Kweli bhan mwez ule nilipewa 150k ya matumizi na ilikuwa bado kama weeks 3 tuingie UE ya sem1 mwaka wa3.
Bado yule Dokta aliendelea kumsumbua Mercy na Mercy alikuwa ananambia nisijali niwe na amani yeye anajielewa.
Niliwaza kumpigia tena Dokta lakini nikaona ni ushenzi nikaachana naye.
Dokta hakukoma alizidisha kumtafuta, nikaamua kumchek tena nikamwambia aache kumsumbua Mercy kwani hayupo tyr kumpa penzi kwahiyo anajiaumbua na kujichoresha tu kumtafuta. Dokta akanijibu majibu ya kishujaa sana.
Dokta alinijibu...."wewe ni chalii mdogo sidhani kama Mercy akihitaji milioni moja ghafla unaweza kumpa. Wewe unavyo vya kujivunia lakini nilichonacho mimi ni pesa na pesa haitanihitaji nitumie nguvu wala maneno mengi.
KUNA WATU WANA ROHO MBAYA DUNIANI.
Yale maneno ya yule mshenzi yalinifanya nipate mawazo mengi sana kichwani yakiwemo.
1. Nitafute watoto wa mbwa niwageie ya bangi wakamchape jamaa kichapo Cha mbwa mwizi.
2. Niachane na Mercy niwe na amani ya moyo. Hili halikuwa na nguvu kwasbb ni dhahili kumuacha Mercy ilikuwa ni ngumu.
3. Nimtie Mercy mimba ili nijihakikishie ushindi.
Tutaendelea.............
Muendelezo soma
Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy