Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee.....

Kabla ya kuendelea naomba niandike mambo machache.

Watu wameniandama sana wengi wao wanadai hii ni chai na wamejikita kwenye maeneo yafuatayo.

1. Bikra kumpiga bao tatu
.....sio Mercy tu nishatoa bikra tatu kabla ya Mercy na mbili kati ya hizo nilipiga bao tatu. Wengi wanaoniandama hawajui mapenzi wanadhani kumfuck dem ni vita kwamba lazima apate maumivu. Kuna soft sex kwa wanaonielewa wanajua kwamba bikra inawezekana kumpiga hata bao kumi.

2. Kutongozwa na wanafunzi wenzangu
.....kutongozwa na wanawake sikuanzia chuo tu.
Nilipomaliza form 4 nilitongozwa na mwanamke ambaye hakuwa na Rika la kuitwa sugarmama lakini alikuwa kanizid umri na alikuwa ameolewa na boss mmoja alikuwa anamiliki kampuni ya Costa na hiace route ya Kaliua - Tabora. Tulidum kwa miezi kadhaa nilipoenda advance habari ikaisha.

Hawa mashoga ndo washanitongoza mpka wengine nishawalia nauli zao nyingi.
Na kuna shoga mwingine alinitongoza ni rafiki wa mtangazaji wa radio station moja kubwa sana hapa nchini aliwahi kuhama hiyo station lakini akarud tena. Kama unauwezo wa kufatilia unaweza kumjua.

Nishatongozwa na wadada mtu na mdogo wake na wote niliwala pasipo kujuana, wote walikuwa wananizid umri walikuwa ni wahaya wa muleba walikuja mkoani kwetu kwa baba yao.

Kipindi nipo advance kuna madam alikuwa anafundisha geography alinitongoza lakini sikufanikiwa kumla.

Kwahiyo kwa anayeona kwamba najisifia kuhusu kutongozwa na wanawake huyo anahisi kutongozwa na mschana ni big deal sana kwake asijue kwamba kwa wengine ni kitu cha kawaida sana.

3. Kuhusu madem kupenda baiki yangu
.....madem wanapenda vitu vya kijinga na baiki yangu haikuwa ya kishamba.
Baiki yangu ilikuwa luxury na Mercy mwanzo alikataa lakini baadae alikuja kuipenda na kuitegemea na alisahau daladala chuo-geto.

THEN SINA HAJA YA KUPOTEZA MUDA KUWADANGANYA KWA KUTUNGA STOR NINGEKUWA NAHITAJI FAIDA BASI NINGEMTAGUTA SHIGONGO TUKAFANYA KAZI YENYE FAIDA. KAMA UNAHISI NI CHAI BASI USIIFATILIE KAA PEMBENI. NIMEAMUA KUSHEA NA NINYI WANAJF WENZANGU KAMA SEHEM YA MAPITO KATIKA MAISHA YANGU.


NIMEAMUA KUTOA YA MOYONI KWANZA, UZI UTAENDELEA MDA SI MREFU.
===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Hii SUA mazimbu Kampuni,Wasalimie Ipo ipo na Tumaini Hostel.

Hivi mama Mwanga bado yupo pale kota za Wafanya kazi Mazimbu,alikua na Cafe yake pale ya watu tuaioshiba chakula kidogo.

Yule mama alikua anapima chakula kingi sana
 
Tuendeleee.....

Ile text ya jamaa ilinitoa mchezoni kidizain nikaona jamaa anaenda kuharibu furaha yangu na maisha yangu.
Nilipata wazo la kuchukua namba yake ili nimtafute tuongee kama wanaume.
Nilimchek kesho yake baada ya Ile siku alotuma text.
Nikampigia nikamueleza politely nakumbuka niliwambia maneno haya "wewe tayar ni Dokta means ushatimiza baadhi ya ndoto zako na unachanzo kizuri cha uchumi, ebu naomba kama unampango wa kumtaka Mercy kimapenz achana naye yule ni wangu na tuna ndoto nyingi na malengo mengine ukimchukua yule mimi sidhani hata kama chuo nitamaliza najua nitachanganyikiea then nitadisco"
Jamaa alicheka sana mpka nikajiona kam nimejishusha sana na nimekubali kupoteza mpambano.

Dokta alinijibu akasema, "dogo kama lengo lako ni kusoma basi soma ila kama umekuja chuo kutafuta mke basi safar yako ni ngumu sana.
Nikaona Dokta kadhamilia nikakata cm.
Nikawaza nifanyaje. Kumbuka huo ni mwaka wa3 tuenda kumaliza sem1.

Siku Ile niliwaza mambo mawili.
Moja niliwaza nimpige mimba Mercy ili nijihakikishie ushindi ndani ya dk90 ili mimi na Dokta tusiende mpka penat.

Swala la pili, pale napoishi ninabraza ambaye anafanya kaz tanapa huwa anakuja mara moja Moja sana mara nyingi anakuwa kazini maporini huko kuna makambi yao. Sasa kwa mwez ule jamaa alikuepo ni bro ambaye tunaheshimiana sana mpka sasa na jina lake siwez kuliweka wazi. Huyu mwamba alinisaidia pakubwa.

Niliwaza hukumshirikisha mwamba, of course ni muhuni muhuni na sigara kubwa alikuwa anapeleka sana sana yani nilikuwa niliingia kwake kwanzia seburen mpka chooni ni harufu ya ganja tu.
Nilimshirikisha kuhusu Dokta kisha nikampa wazo kwamba tumtafute yule Dokta Ile yeye brother amwambie tena aachane ma Mercy maana kwa yale maneno yake siku ile nilipompigia yalinitoa relini kabisa.

Huyu brother anagari yake moja Subaru Forester, kwahiyo siku hiyo akanambia inabid tumtafute physically sio kwenye cm tena. Nikaona wazo zuri, nakumbuka ilikuwa weekend Mercy yupo kwake mimi nipo magetoni.
Tulijiandaa tukachukua kigari chetu tukasepa town. Nilimuelekeza brother office ya Dokta na jinsi alivo ili aende kumchek kama kaingia asubuh au anashift ya saa6 mchana. Maana siku Ile tulivoenda na Mercy niligundua kwamba pale kuna shifts, yani asubuh mpka saa6 anatoka mtu anaingia mwingine.

Bahati nzuri brother alimkuta yule Dokta yupo kazini na muda ule ilikuwa kaka saa4 na nusu hivi.
Tuliamua kwenda juice point Moja ipo karibu na hosii tukakaa tukawa tunapata juice huku tunasbr jamaa atoke tumdake.
Tulikaa sana, kufika saa sita kasoro tukamuona katoka. Alikuwa anaongea na cm basi nasisi tukasogea karibu yake.
Alipomaliza kuongea na cm tukamsemesha tukamuomba tuongee naye.
Hakuwa na hiana kasogea tulipo.
Tukasalimiana naye tena pale then bro akamuliza kama Dokta ananikumbuka akasema hana kumbukumbu vizur.
Nikaona so kesi nikamuelekeza akasema kanikumbuka tyr.

Basi bro akaanza kuongea pale. Kikubwa alichomwambia Dokta ni kwamba mimi ni mdogo wake. Na anajua kuwa Nina mpenzi anaitwa Mercy na tunapendana sana. Bro akamuomba kistarab kwamba hakuna haja ya vita kuoneshana nani zaid ila kama Dokta akishindwa kuwa muelewa basi hata sisi vita tunaiweza. Bro aliongea huku anatabasam then ghafla tukamuaga bro akamuomba azingatie between the lines yake maneno aloambiwa. Then tukapanda kigari chetu tukaishia mbali.

Nilimshukuru sana bro na hapo nikajisemea kuwa tyr vita nishashinda na Dokta kashaweka silaha begani.
Kipindi tupo njiani bro aliniomba twende mpka kwa Mercy akamchek maana toka bro aje safar ile hakuwah kuonana na Mercy. Tulipita dukani kununua yoghurt na mkate tukanyooka mpka kwa Mercy. Tulipofika getini nikamchek akatoka, tulikuwa katika gari bado kwahyo alivoiona gari akajua kabisa tutakuwemo ndani.

Alisogea nikafungua akaingia. Wakasalimiana, kapewa yoghurt yake na mkate tukasema sisi hatuingii ndani nikamuahid kurud badae. Mercy alifurahi sana bas tukageuza kurud home.

Kumbuka hiyo michongo yote na misuguana na Dokta Mercy hakuwa anajua. Niliamua kupigana vita kimya kimya.

See you..............
🤣🤣🤣Ungeblock simu ya dokta kimyakimya halafu unachukua number ya dokta unaipindua hata mercy akimiss ampigie hampati ng'oo we vipi?
 
Back
Top Bottom