Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Tuendeleee.......

Baada ya kile kipindi cha mchana tulitoka kurud hostel. Ilipofika saa kumi jioni nikamstua mama mtu nkamwambia ajiandae akasema Haina shida anajiandaa. Nikawa napoteza muda nikichek movie ya "the boy who harnessed the wind" no movie yangu pendwa. Ilipofika saa kumi na moja nikamchek tena akajibu ameahirisha duuuh nilikuwa nimeweka laptop kwenye mapaja kidogo niibwage chini kwa jinsi nilivostuka baada ya Mercy kunambia ameghair nikamsihi nikamwambia ukiachana na gharama tayar nishaweka oda ya msosi wa jioni kule town na tayar nishaset akili yangu kwamba leo ndo leo. Kumbe alikuwa ananichora bhana mwsho wa siku akanambia tutaondoka saa Moja kasoro jioni nikakubari.

Ile movie iliisha nikaanza kupitia assignment ambayo tuliambiwa tukusanye j tatu asubuh ilikuwa ni chemistry nikaipitia pitia pale ku-buy time lakini akili haukuwa pale kabisa.

Bila hiana muda ukafika bhna nikamuona mtoto kajikusanya kusanya kaja tulikutana kituo cha daladala alikuwa katupia kimtindo na ki handbag chake kwapani. Tukanyaka chuma mpka town, tulipofika tuliingia ndani tulikuwa tyr tushaoga kwahyo haikuwa na haja ya kwenda washroom. Tulifukia kwenye sofa lililokuwemo humo room, stor na romance zilianza, tulivua nguo tukapiga deep kisses za hatar tukahamia kitandani kimbembe kikaja kwenye kuweka dudu la yuyu.

Mercy kweli alikua bikra yani nilisumbuka sana kuinsert dudu la yuyu nakumbuka aliniuma meno mkononi nikakasirika nikaenda kwenye sofa mwsho wa siku akaja kumuomba msamaha mambo yakaendelea. Nikakumbuka kuna order ya msosi nikatoka kwenda kitchen kuulizia kinachoendelea na nilikosa chips kavu mbili na mbuzi nusu na vinywaj. Zilipita kama do 15 chakula kikaja tukala then tukaenda kuoga tukarud kuendelea kuviziana kitandan. Mercy aliomba niende dukani kutafuta Panadol ili kama maumiv yatakuwa makali bas atumie dawa. Nikaona no idea nzur nkaenda kuchukua dawa nikarud fast.

Nikaanza uchokoz nikamlegeza kabisa kisha nikaweka mkeyenge kwa nguvu sana na ililenga palepale ebana Mercy alitoa kelele moja kwa mkeyenge wake nikaona nimemuweza nikapiga kama tako tano alipiga sana kelele kwasabb ilikuwa inabana sikuchukua muda nikakitupa cha kwanza. Nilipochomoa nilimuona mercy kajifunika sura na mikono yake anaona aibu ila kuangalia chini ni kweli palikuwa na dam nyingi kimtindo.

Katika Ile handbag aliweka kanga, Ile kanga aliitanguliza chini kwahyo dam zikaishia katika kanga. Tukatoka kwenda kuoga lakini dizain kama Mercy alikuwa kanuna lakini baada ya kumaliza kuoga alikuwa kashakaa sana tukala stor tukarud bed. Nilianza plan za kuakiamsha Cha pili tukaanza romance, mara ya pili niona changes kwa Mercy alipunguza uoga ja ham iliongezeka kwahyo cha pili kidogo tulienjoy japo kelele ziliendelea.

Asee mpka kunakucha nililipia rounds 3 asubuh saa3 tukaondoka tukapita town kununua msos tukarud chuoni. Njiani Mercy alinambia maneno flani kwamba angenishangaa kama nisingefanikiwa kuitoa bikra.

Basi bhna tuliendelea kuzama penzini na mapenz yaliongezeka mara dufu na watu walituoenda sana chuoni na wengine kutuonea wivu hasa madem na ma men wachache kwasabb tulikuwa tunaish lifestyle flan hvi nzuri sana.

Ilifika muda wa kufanya UE ya kwanza kulifanya vzr mimi na Mercy hakuna aliyepata sup, hii ilizidisha mapenz kati yetu na wanafunzi wenzetu walitupa hongera sana kwasabb so kwamba hatukupata sup tu bali GPA zilikuwa sio haba zilivutia.

Tulianza kupata changamoto kutoka kwa wanafunzi wenzetu, kuna wadada walikua wananifata kunitongoza na yeye alifatwa sana na ma men lakini tulijiapiza kutokusalitiana. Tuliendelea vizr mpak mwaka wa kwanza ukaisha vizuri tu. Mimi na Mercy hatukendekeza ngono kwani mpka mwaka wa kwanza ulipoisha tulifanya mara moja tu.

Mwaka wa pili ulianza baada ya kumaliza likizo....mambo yalibadirika mwaka wa pili katikati.....

See you............
🤣🤣🤣Sare ya vitenge! mlikuwa walokolee sana na nyie
 
Tuendeleee.....

Ile text ya jamaa ilinitoa mchezoni kidizain nikaona jamaa anaenda kuharibu furaha yangu na maisha yangu.
Nilipata wazo la kuchukua namba yake ili nimtafute tuongee kama wanaume.
Nilimchek kesho yake baada ya Ile siku alotuma text.
Nikampigia nikamueleza politely nakumbuka niliwambia maneno haya "wewe tayar ni Dokta means ushatimiza baadhi ya ndoto zako na unachanzo kizuri cha uchumi, ebu naomba kama unampango wa kumtaka Mercy kimapenz achana naye yule ni wangu na tuna ndoto nyingi na malengo mengine ukimchukua yule mimi sidhani hata kama chuo nitamaliza najua nitachanganyikiea then nitadisco"
Jamaa alicheka sana mpka nikajiona kam nimejishusha sana na nimekubali kupoteza mpambano.

Dokta alinijibu akasema, "dogo kama lengo lako ni kusoma basi soma ila kama umekuja chuo kutafuta mke basi safar yako ni ngumu sana.
Nikaona Dokta kadhamilia nikakata cm.
Nikawaza nifanyaje. Kumbuka huo ni mwaka wa3 tuenda kumaliza sem1.

Siku Ile niliwaza mambo mawili.
Moja niliwaza nimpige mimba Mercy ili nijihakikishie ushindi ndani ya dk90 ili mimi na Dokta tusiende mpka penat.

Swala la pili, pale napoishi ninabraza ambaye anafanya kaz tanapa huwa anakuja mara moja Moja sana mara nyingi anakuwa kazini maporini huko kuna makambi yao. Sasa kwa mwez ule jamaa alikuepo ni bro ambaye tunaheshimiana sana mpka sasa na jina lake siwez kuliweka wazi. Huyu mwamba alinisaidia pakubwa.

Niliwaza hukumshirikisha mwamba, of course ni muhuni muhuni na sigara kubwa alikuwa anapeleka sana sana yani nilikuwa niliingia kwake kwanzia seburen mpka chooni ni harufu ya ganja tu.
Nilimshirikisha kuhusu Dokta kisha nikampa wazo kwamba tumtafute yule Dokta Ile yeye brother amwambie tena aachane ma Mercy maana kwa yale maneno yake siku ile nilipompigia yalinitoa relini kabisa.

Huyu brother anagari yake moja Subaru Forester, kwahiyo siku hiyo akanambia inabid tumtafute physically sio kwenye cm tena. Nikaona wazo zuri, nakumbuka ilikuwa weekend Mercy yupo kwake mimi nipo magetoni.
Tulijiandaa tukachukua kigari chetu tukasepa town. Nilimuelekeza brother office ya Dokta na jinsi alivo ili aende kumchek kama kaingia asubuh au anashift ya saa6 mchana. Maana siku Ile tulivoenda na Mercy niligundua kwamba pale kuna shifts, yani asubuh mpka saa6 anatoka mtu anaingia mwingine.

Bahati nzuri brother alimkuta yule Dokta yupo kazini na muda ule ilikuwa kaka saa4 na nusu hivi.
Tuliamua kwenda juice point Moja ipo karibu na hosii tukakaa tukawa tunapata juice huku tunasbr jamaa atoke tumdake.
Tulikaa sana, kufika saa sita kasoro tukamuona katoka. Alikuwa anaongea na cm basi nasisi tukasogea karibu yake.
Alipomaliza kuongea na cm tukamsemesha tukamuomba tuongee naye.
Hakuwa na hiana kasogea tulipo.
Tukasalimiana naye tena pale then bro akamuliza kama Dokta ananikumbuka akasema hana kumbukumbu vizur.
Nikaona so kesi nikamuelekeza akasema kanikumbuka tyr.

Basi bro akaanza kuongea pale. Kikubwa alichomwambia Dokta ni kwamba mimi ni mdogo wake. Na anajua kuwa Nina mpenzi anaitwa Mercy na tunapendana sana. Bro akamuomba kistarab kwamba hakuna haja ya vita kuoneshana nani zaid ila kama Dokta akishindwa kuwa muelewa basi hata sisi vita tunaiweza. Bro aliongea huku anatabasam then ghafla tukamuaga bro akamuomba azingatie between the lines yake maneno aloambiwa. Then tukapanda kigari chetu tukaishia mbali.

Nilimshukuru sana bro na hapo nikajisemea kuwa tyr vita nishashinda na Dokta kashaweka silaha begani.
Kipindi tupo njiani bro aliniomba twende mpka kwa Mercy akamchek maana toka bro aje safar ile hakuwah kuonana na Mercy. Tulipita dukani kununua yoghurt na mkate tukanyooka mpka kwa Mercy. Tulipofika getini nikamchek akatoka, tulikuwa katika gari bado kwahyo alivoiona gari akajua kabisa tutakuwemo ndani.

Alisogea nikafungua akaingia. Wakasalimiana, kapewa yoghurt yake na mkate tukasema sisi hatuingii ndani nikamuahid kurud badae. Mercy alifurahi sana bas tukageuza kurud home.

Kumbuka hiyo michongo yote na misuguana na Dokta Mercy hakuwa anajua. Niliamua kupigana vita kimya kimya.

See you..............
dogo kama lengo lako ni kusoma basi soma ila kama umekuja chuo kutafuta mke basi safar yako ni ngumu sana.
 
Back
Top Bottom