Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Biashara ilianza kuchanganya tukawa tunapiga pesa unakuta kwa wiki nilikuwa nauza mpk pieces 100 sasa ukipiga faida yake ilikuwa Ina range kwenye 70-100k kwa wiki Moja.
Hold on...

200 × 100 = TZS 20,000.00
400 × 100 = TZS 40,000.00

Sasa hiyo faida ya 70,000 hadi 100,000 kwenye pieces 100 inapatikanaje?
 
Usiku mzima sio sawa na kumvusha dem geton masaa mawil. Na experience ulonayo ni tofaut na wengine
Experience nakubaliana na wewe na ndio maana nime doubt ila haimaanishi ndio kila kitu, na pia Issue sio usiku mzima mzee, hapo issue ni BK kumpiga raundi tatu ndio hasa nachozungumzia


Hivi unaijua BK au???? Yaani the way inavyokuwa afu umpige tatu??? Hiyo itakuwa ya kichina ila ile yenyewe unazindua for the first time, ah sidhani
 
Experience nakubaliana na wewe na ndio maana nime doubt ila haimaanishi ndio kila kitu, na pia Issue sio usiku mzima mzee, hapo issue ni BK kumpiga raundi tatu ndio hasa nachozungumzia


Hivi unaijua BK au???? Yaani the way inavyokuwa afu umpige tatu??? Hiyo itakuwa ya kichina ila ile yenyewe unazindua for the first time, ah sidhani
Kwenye comment yangu nilisema hii ni stori ya watoto hatupaswi kuizingatia. First year 2019 bado ni mtoto.
 
Experience nakubaliana na wewe na ndio maana nime doubt ila haimaanishi ndio kila kitu, na pia Issue sio usiku mzima mzee, hapo issue ni BK kumpiga raundi tatu ndio hasa nachozungumzia


Hivi unaijua BK au???? Yaani the way inavyokuwa afu umpige tatu??? Hiyo itakuwa ya kichina ila ile yenyewe unazindua for the first time, ah sidhani
Mercy alikuwa bk pure elewa hivo kama hauamini basi
 
Hold on...

200 × 100 = TZS 20,000.00
400 × 100 = TZS 40,000.00

Sasa hiyo faida ya 70,000 hadi 100,000 kwenye pieces 100 inapatikanaje?
Hayo ni makadirio tu piga hesabu mtaji wa pics 200, za mia3 PCs 300 na za mia6 pics 200, so faida ilikuwa inarange 70k mpka 100k per week kama biashara ikiwa vizur na mzigo ulikuwa hauchelew kuisha means kwa week nlkuwa nauza Zaid ya PCs 100, hizo niliandika kama makadirio tu
 
Hayo ni makadirio tu piga hesabu mtaji wa pics 200, za mia3 PCs 300 na za mia6 pics 200, so faida ilikuwa inarange 70k mpka 100k per week kama biashara ikiwa vizur na mzigo ulikuwa hauchelew kuisha means kwa week nlkuwa nauza Zaid ya PCs 100, hizo niliandika kama makadirio tu

Rekebisha hapa
kwa wiki nilikuwa nauza mpk pieces 100
Iwe:
"kwa week nilikuwa ninauza zaidi ya pieces 100"
 
Tuendeleee.....

Ile text ya jamaa ilinitoa mchezoni kidizain nikaona jamaa anaenda kuharibu furaha yangu na maisha yangu.
Nilipata wazo la kuchukua namba yake ili nimtafute tuongee kama wanaume.
Nilimchek kesho yake baada ya Ile siku alotuma text.
Nikampigia nikamueleza politely nakumbuka niliwambia maneno haya "wewe tayar ni Dokta means ushatimiza baadhi ya ndoto zako na unachanzo kizuri cha uchumi, ebu naomba kama unampango wa kumtaka Mercy kimapenz achana naye yule ni wangu na tuna ndoto nyingi na malengo mengine ukimchukua yule mimi sidhani hata kama chuo nitamaliza najua nitachanganyikiea then nitadisco"
Jamaa alicheka sana mpka nikajiona kam nimejishusha sana na nimekubali kupoteza mpambano.

Dokta alinijibu akasema, "dogo kama lengo lako ni kusoma basi soma ila kama umekuja chuo kutafuta mke basi safar yako ni ngumu sana.
Nikaona Dokta kadhamilia nikakata cm.
Nikawaza nifanyaje. Kumbuka huo ni mwaka wa3 tuenda kumaliza sem1.

Siku Ile niliwaza mambo mawili.
Moja niliwaza nimpige mimba Mercy ili nijihakikishie ushindi ndani ya dk90 ili mimi na Dokta tusiende mpka penat.

Swala la pili, pale napoishi ninabraza ambaye anafanya kaz tanapa huwa anakuja mara moja Moja sana mara nyingi anakuwa kazini maporini huko kuna makambi yao. Sasa kwa mwez ule jamaa alikuepo ni bro ambaye tunaheshimiana sana mpka sasa na jina lake siwez kuliweka wazi. Huyu mwamba alinisaidia pakubwa.

Niliwaza hukumshirikisha mwamba, of course ni muhuni muhuni na sigara kubwa alikuwa anapeleka sana sana yani nilikuwa niliingia kwake kwanzia seburen mpka chooni ni harufu ya ganja tu.
Nilimshirikisha kuhusu Dokta kisha nikampa wazo kwamba tumtafute yule Dokta Ile yeye brother amwambie tena aachane ma Mercy maana kwa yale maneno yake siku ile nilipompigia yalinitoa relini kabisa.

Huyu brother anagari yake moja Subaru Forester, kwahiyo siku hiyo akanambia inabid tumtafute physically sio kwenye cm tena. Nikaona wazo zuri, nakumbuka ilikuwa weekend Mercy yupo kwake mimi nipo magetoni.
Tulijiandaa tukachukua kigari chetu tukasepa town. Nilimuelekeza brother office ya Dokta na jinsi alivo ili aende kumchek kama kaingia asubuh au anashift ya saa6 mchana. Maana siku Ile tulivoenda na Mercy niligundua kwamba pale kuna shifts, yani asubuh mpka saa6 anatoka mtu anaingia mwingine.

Bahati nzuri brother alimkuta yule Dokta yupo kazini na muda ule ilikuwa kaka saa4 na nusu hivi.
Tuliamua kwenda juice point Moja ipo karibu na hosii tukakaa tukawa tunapata juice huku tunasbr jamaa atoke tumdake.
Tulikaa sana, kufika saa sita kasoro tukamuona katoka. Alikuwa anaongea na cm basi nasisi tukasogea karibu yake.
Alipomaliza kuongea na cm tukamsemesha tukamuomba tuongee naye.
Hakuwa na hiana kasogea tulipo.
Tukasalimiana naye tena pale then bro akamuliza kama Dokta ananikumbuka akasema hana kumbukumbu vizur.
Nikaona so kesi nikamuelekeza akasema kanikumbuka tyr.

Basi bro akaanza kuongea pale. Kikubwa alichomwambia Dokta ni kwamba mimi ni mdogo wake. Na anajua kuwa Nina mpenzi anaitwa Mercy na tunapendana sana. Bro akamuomba kistarab kwamba hakuna haja ya vita kuoneshana nani zaid ila kama Dokta akishindwa kuwa muelewa basi hata sisi vita tunaiweza. Bro aliongea huku anatabasam then ghafla tukamuaga bro akamuomba azingatie between the lines yake maneno aloambiwa. Then tukapanda kigari chetu tukaishia mbali.

Nilimshukuru sana bro na hapo nikajisemea kuwa tyr vita nishashinda na Dokta kashaweka silaha begani.
Kipindi tupo njiani bro aliniomba twende mpka kwa Mercy akamchek maana toka bro aje safar ile hakuwah kuonana na Mercy. Tulipita dukani kununua yoghurt na mkate tukanyooka mpka kwa Mercy. Tulipofika getini nikamchek akatoka, tulikuwa katika gari bado kwahyo alivoiona gari akajua kabisa tutakuwemo ndani.

Alisogea nikafungua akaingia. Wakasalimiana, kapewa yoghurt yake na mkate tukasema sisi hatuingii ndani nikamuahid kurud badae. Mercy alifurahi sana bas tukageuza kurud home.

Kumbuka hiyo michongo yote na misuguana na Dokta Mercy hakuwa anajua. Niliamua kupigana vita kimya kimya.

See you..............

===
Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
 
Karibuni katika kisa hiki kilichoacha alama isiyofutika katika moyo na MAISHA yangu.

Nitaanzia mwaka 2019 nilipojiunga na chuo x hapa nchini. Tukiwa first year nilipata mchuchu mmoja wa kuitwa Mercy mtoto wa Kilimanjaro. Mercy alikua mtoto wa kishua, alikua mwembamba mrefu sura nyembamba ndefu na meno ya kuungua ungua.

Mercy hakua bint wa mambo mengi sana hasa tulipokuwa first year. Tulianza mahusiano yetu nakumbuka ilikuwa mwezi wa kwanza mwaka 2020. Tulikuwa tunasoma koz Moja mimi na mpenz wangu kwahyo most of the time tulikuwa pamoja, disc na hata katika private studies tulikuwa hatuachani kiukweli tulipenda sana.

Sasa kutokana na jinsi nilivokuwa nimemsoma Mercy niligundua sio mtu wa kumuomba show haraka haraka ningezingua pengine ningempoteza kabisa. Mercy alikua mtu wa kusali, mpole lakini mcheshi anaongea alipohitajika kuongea hakuwa mtu wa kuongea ongea hovyo (hii ndo type ya madem naowapenda). Masomo yaliendelea na of course sisi sote darasani tulikuwa poa sana maana hata sup sikuwahi kupata na yeye alipata moja semester ya 3 tu na chanzo ni mvurugano katika mapenzi uliotokea mbele ya safari nitawajuza nini kilitokea.

Siku zilipita miezi ikasogea tukafunga ile likizo fupi ya 3 yeye alienda kwao mimi nilibak mkoan hapo hapo. Kumbuka sikuwa nimeanza kumchombeza kuhusu tendo ila tulikuwa tunafanya soft touches na romance to lakini show no.

Tulipofungua, siku Mercy alipokuwa anarud chuoni nilienda kumpokea stand tulifurah sana kuonana, alikua anapendelea kuvaa suruali na tishirt na raba alikua kapendeza sana kwahyo tulipanda daladala tukapitia town tukapata chakula cha jioni nikamchukulia na yoghurt tukarud chuoni.

Baadaa ya wiki mbili kupita nikaanza kumchombeza kuhusu show mwanzo alikua ananikatalia kabisa anasema mpka ndoa lakini nilikaza sana na mwisho wa siku akanikubalia.

Siku tulopanga twende kugegedana......

Tulipanga ijumaa jioni ya wiki ile twende out town tulale hukohuko. Mimi ijumaa asubuh kwasabb tulikuwa hatuna vipindi asubuh nakumbuka siku ya ijumaa tulikuwa na kipindi kimoja tu mchana. Nilijidamka nikaenda town kubook chumba mapema katika moja ya lodges zilizopo hapo town. Ilikuwa ni lodge ya hadhi japo sio hadhi kubwa ya kivile lakini nilihakikisha natafuta sehem ambayo ingemfamya Mercy ajione no wa thamani. Nakumbuka nililipia tsh 45k ya siku nzima na kulala kabisa.

Nilimaliza mishe mida ya saa5 asubuhi nikachukua key ya chumba nikarud chuo ili kuwah kipindi. Mercy aliuliza mrejesho nikakwambia kila kitu kipo poa akajibu poa na kusema kwamba kazi ipo Leo. Nilisahau kuandika mwanzo, Mercy aliniambia kwamba hakuwa kufanya mapenz kwahyo mimi ndo ntakuwa first kwake, asee nikajisemea nitafanya kila kitu ili nimfungue na niwe mwanaume wake wa kwanza.

Tukutane next episode.......

Muendelezo soma Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy
Nyie endeleeni kuzifungua tu hizo mbususu sisi kazi yetu nikuzipanua ii njia itoshe kwa watoto kupita.
 
Back
Top Bottom