Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

Daktari alifanya nikampoteza mchumba wangu Mercy

WANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA, UNAONA KIPINDI HIKI KUNA UHABA WA SUKARI WEWE KIDUME UNAWEZA UKAWA NAPESA ZAKO ZA KUTOSHA ILA UPO BIZE NA MAMBO YAKO HAUPAMBANII MKEO APATE SUKARI NDANI KWASABABU YA KUADIMIKA KWAKE MTAANI, UNAWEZA UKAJA KUSTUKA MKEO KAGAWA MBUSUSU KWA FALA MMOJA TU KISA KILO MBILI ZA SUKARI ILI AANDAE KEKI YA BIRTHDAY YA MWANAE, HAWA WATU NI SHIDA.
😂😂😂😂 ndio maana hutakiwi kua serious nao saana, maana always ke hawako serious kabisa.

Ukijifanya uko serious na maisha wanakusaplaizi kwa ujinga wa kiwango cha rami ambao utazua meengi mwisho uonekane wewe ndo una makosa.
 
Sasa napata nini katika kutunga huo ujinga au mnanilipa, hafu sikukulazmisha usome
Kuna watu humu nature yao huwa ni ubishi na lengo lao kumkatisha narrator achaane na habari yake sasa huwa sijui huwa wanafaidika na nini

Kuna watu wengi walishanasa mtego wa hawa watu na kuacha simulizi zao
 
Mapenzi , kitu Cha kijinga sana🤔 na Appreciate wadada wenye sifa kama za Mercy na nawaona wajinga sana vijana wenye tabia ya mtoa mada🤔 legend hautakiwi kuweka Kila kitu wazi kwa gf, kwa uzoefu wangu, mm nikishamkula Binti kazi ni kwake kunibembeleza kwa bidii ili asinipoteze, unajua asali ni tam Ile tone la mwanzo🤭
 
Namba ya Mercy mwenyewe alidai home kwao wasingemuelewa na ndugu zake wengi wameizoea ile kwahyo wazo la kubadili line halikumuingia akilini na aliona haina haja
Bila shaka alikukatalia hili sababu alishaanza kuchoshwa na ww kimtindo ila kifupi mchumba km anakuelewa hili haruki nazungumza by uzoefu
 
WANAWAKE NI WATU WA AJABU SANA, UNAONA KIPINDI HIKI KUNA UHABA WA SUKARI WEWE KIDUME UNAWEZA UKAWA NAPESA ZAKO ZA KUTOSHA ILA UPO BIZE NA MAMBO YAKO HAUPAMBANII MKEO APATE SUKARI NDANI KWASABABU YA KUADIMIKA KWAKE MTAANI, UNAWEZA UKAJA KUSTUKA MKEO KAGAWA MBUSUSU KWA FALA MMOJA TU KISA KILO MBILI ZA SUKARI ILI AANDAE KEKI YA BIRTHDAY YA MWANAE, HAWA WATU NI SHIDA.
Kama unalijua Hilo timiza majukumu yako MPE SUKARI MKEO APIKE KEKI,usipojipanga,utapangwa!
 
Back
Top Bottom