Changamoto za kazi zinatofautiana mkuu.Hizo ni changamoto tu za kazi sio kwa udaktar tu hata wahandisi wanakutana nazo ,
Una uelewa wa kutosha wa kile unachokiandika au unaandika kwa sababu mikono yako ina uwezo wa kuandika ?Kigezo ni muda wa darasani na ugumu wa kozi husika, mwalimu kozi yake sio ngumu na hakai darasani muda mrefu , kingine mtu kujua kitu au kusoma kuna mchango mkubwa WA mhusika mwenyewe
Umedandia hoja.... nenda mahospitalini utajua umuhimu wa maMD, sikatai maengineer wana nafasi yao kama ilivyo tu kada zingine zozote but non of them can come closer to MD..Wewe unafaham kitu kuhusu Uhandisi?
Unafahama chochote kuhusu Structural Analysis?
Hao wanaokimbilia masomo ya Arts huwa wanafaulu vizuri ?Hahahaha hii kichekesho cha mwaka , jiulize kwann waalimu WA arts ni wengi kuliko waalimu WA sayansi
Sidhani kama kuna upungufu wa madaktari wa kawaida mtaani hadi mtu atumike sehemu zaidi ya moja,kwa madaktari bingwa hakuna shaka kwa hilo
Serikali iwalipe madaktari salary inayoridhisha
Hata hospital pia wanaofanya manesi yeye anashauri tu.Huwezi fanya comparison za kitoto hivyo... engineer hajengi ana design yy hata tofali hashiki, basi bora huo mshahara wake wapewe wale vibarua wanaopanda juu na matofali...
Ndugu hata km ungelipwa 2000000 bado pia haitoshi kusema eti ndio thamani ya kazi unayoifanya.kazi unayofanya ya kuokoa afya za binadamu wenzako itabaki kuwa na thamani kubwa kiasi kwamba binadamu hawezi kuilipa bali Mungu pekee.Walimu kwa sasa wanalipwa vizuri kuliko awali,na ukiangalia ugumu na risks za kazi ualimu sio mgumu wala sio risk Kama daktari
Hata hospital pia wanaofanya manesi yeye anashauri tu.
Kila mtu ana umuhimu.Umedandia hoja.... nenda mahospitalini utajua umuhimu wa maMD, sikatai maengineer wana nafasi yao kama ilivyo tu kada zingine zozote but non of them can come closer to MD..
remember unaishi mara moja tu na hakuna cha kufananisha na uhai, madaktari husaidia kwa kiwango kikubwa kuokoa maisha yetu.
Manesi ndio wanafanya sana practically na ndio maana wanakaa na mgonjwa kwa masaa mengi.Unasema nn ww?!
Nurse hufanya kaz ndogo sana ila daktari ndio anafanya asilimia kubwa hata katka kuzalisha wakunga wasaidizi tyuu
Kawaida Mhandisi anatumia akili kubwa kwenye kazi kuliko Daktari.
Daktari anakuuliza dalili za tatizo na kujua ugonjwa lakini Mhandisi anatumia akili nyingi kuvumbua tatizo
Miaka inavyokwenda na ugunduzi wa kisayansi madaktari watakosa kazi soon. Roboti linakutibu unasepa.
Tuitie roboti lijenge lami.
Mbona hata wahandisi wanakutana na hizo changamoto kuna wakati wanaitwa mashine imesumbua wakati inatumika kwa mgonjwa na hospitali yote ipo hiyo tu,kama itaendelea kuwa mbovu huduma zinasimama,pia hilo la kupata magonjwa mtumishi yeyote anaweza kupata magonjwa kama hatachukua tahadhar za kujikinga.kumbuka hospital siku hizi kuna biomedical technician/engineer ambao wapo kuvifanyia matengenezo,kufunga na kutoa mafunzo ya vifaa tiba kwa watumiajiChangamoto za kazi zinatofautiana mkuu.
Mtu anaweza kukujia na gonjwa kila akikuelezea unaweza sema amerogwa.
Asee we unasema tyuu kwa kutuletea vipimo vya full blood picture wameturahisishia kaz kimtindo.
Mbaya zaid daktari hata maisha yake yanahatarishwa maana unaweza ukaletewa mgonjwa yupo ktk critical condition kumbe ni mgonjwa wa homa ya ini na homa ya ini inaambukiza kwa contact ukawa unafanya kazi kwa mazoea ukasahau gloves umeondoka na maji.
Vizuri kwa maana ya sh ngapi Mkuu?Walimu kwa sasa wanalipwa vizuri kuliko awali,na ukiangalia ugumu na risks za kazi ualimu sio mgumu wala sio risk Kama daktari
Unajua umeropoka kuliko watu wote.?!Hivi unajua sayansi wani ini PCM hence wahandisi na sio PCB hence madaktari?
Shauri yako, vifaa tiba vyote anagundua na kutengeneza mhandishi ndio unataka umlinnganishe na anayetumia?
[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]weeee endelea kuotaaYale mabati yamewekwa kwa maelekezo ya hao ma eng wa bongo unaowaita takataka. Mchina kazi yake ni kujenga tu.
Zaidi ya 15,000 kwa siku
Risk ni kama magonjwa ,hawana wikend au holidays na wako hatarini kupata magonjwa kutoka kwenu nyie wagonjwa wakati wanatekeleza majukumu yao
Wewe umelala mwenzio yuko on duty si unajua wake zenu wanazaa zaidi ucku
Jibu hiyo hoja uliyoikimbia kwanza!Angalia muda wanaokaa darasani na kumbuka hizo ni gloss salary take home hapo ni 800,000 yaani hiyo ndio ya kuitafuta kwa miaka 5 university?